Women are trouble makers

Women are trouble makers

Leo umeongea point.

Zamani huko yashawahi kunikuta.

Mimi kuna jamaa yangu mno rafiki wa siku nyingi, tulishirikiana kibiashara. Mtaji ukakua vizuri tu. Jamaa akapata mpenzi akaona aoe kabisa. Baada ya hapo mapichapicha yakaanza. Mwanamke alianza kuleta MANENO maneno mengi jamaa yangu wa siku nyingi mno anageuka anaaza kunituhumu mambo ya ajabu, mke wake ananituhumu wizi mara wizi, siku nyingine ananisakizia ninamtaka kimapenzi (ni mzuri mweupe na ana tako kubwa). Mimi na jamaa yangu tulikuwa na utaratibu wa kukuza mtaji tokea kwenye faida. Mwanamke wake akaanza kuwa anataka hela moja kwa moja toka kwenye biashara kwa ajili ya matumizi yake na mtoto. Pesa akipata ni kujiremba , nguo na kununua mawigi. Nikikataa kumpa hela ananizushia namtaka. Mara ananidanganya mme wake kamtuma nimpe hela. Nikimpigia jamaa yangu anasema yeye hajamtuma, halafu mwanamke ananiruka anasema hajataka hela, anaanzisha varangati. Ikabidi niwe na daftari la mahesabu mwanamke akawa anakula faida na mtaji wa upande wa jamaa wangu ambaye ni mume wake, jamaa yangu nikimuelezea anakuwa haelewi ananiona mimi mbaya, mke wake anaanzisha varangati. Siku zikaenda Nilijicontrol hasira, Siku moja uvumilivu ulinishinda, mwanamke akaanza varangati kama kawaida, nilimwasha kibao kimoja heavy tu mpaka wigi likaruka juu yeye akaanguka chini. Watu wakaja kunishikilia ikawa vurugu kweli kweli.

Jamaa yangu akaja akataka kuleta vurugu, watu wakamshikilia, mimi na rafiki yangu wa siku nyingi tukaaa maadui rasmi. Mwanamke akasema nilikuwa namtaka mara aseme nilikuwa nataka kumbaka.

Jamaa yangu wa siku nyingi akanichukulia RB polisi. Nikalala ndani. Nilivyotoka tukaamua tugawane biashara. Kila mtu achukue chake. Tukaanza kupiga hesabu kumbe mwanamke amekula hela nyingi mno toka kwenye biashara. Nilitoka na 70% jamaa yangu 30%. Kila mtu akajitegemea.

Mimi mpaka leo nipo. Ila kule kwa jamaa yangu kiliumana zaidi. Mwanamke wake aliifilisi biashara ikafa kabisa halafu mwanamke ni spender anapenda lavish lifestyle nguo kali, nywele, viatu simu kali. Waliishia kugombana na jamaa wangu walishaachana na huyo mwanamke wake. Ni single mother huko. Jamaa yangu alikuja kupiga magoti kuniomba msamaha ofisini kwangu. Jamaa anasema huyo mwanamke kamfilisi na kamletea mgogoro na kila mtu kuanzia na mimi rafiki wake wa kibiashara, majirani, ndugu zake. Jamaa yangu alikuwa anazungumza machozi yanamlengalenga. Nilimboost kidogo angalau asife njaa.

Omba Mungu akuepushe na Mwanamke
Wanawake ni changamoto sana, ukimsikiliza kwa kila kitu umekwisha
 
Mwanamke anatakiwa kubaki nyumbani tu azae, alee watoto na kuangalia nyumba. kumjumuisha mwanamke katika masuala mengine zaidi ya mambo ya nyumbani ni kutengeneza bomu litakalolipuka muda wowote
 
🤣
Mke wa jamaa yangu nahisi ni bomu la nyuklia kabisa 🤣🤣🤣 anajua kugombanisha, anajua kutunga uongo, anajua kulia machozi mengi kumbe usanii 🤣🤣🤣
 
Hii dunia ina siri nyingi ni wachache wanaoelewa
Na ukiwafungilia watu izo code utashambuliwa kinoma. Mimi kila siku nawaelekeza wanaume namna ambavyo mifumo inatunyonya na wanawake wanaitumia kujinufaisha cha kushangaza kuna wanaume wenzangu wananipinga. Utumwa wa fikra ni mbaya sana.
 
Ujinga ni mtaji
 
Kaka zako wapumbavu. Samahani kwa hilo mkuu.

Mwanamke kutoka familia nyingine anawezaje kukufanya mchukiane na ndugu yako wa damu.?
Bila samahani mkuu..

Haya mambo hua yanaanza taratibu, mke anamjaza mumewe maneno kidogo kidogo, mwisho unashangaa ishu iliyoanza kama mzaha inaishia kuwa ugomvi mkubwa
 
Ila wakati fulani kuishi na mwanamke kunahitaji uvumilivu sana. Kuna wakati mnaweza kuwa katika good terms! From nowhere, unashangaa ameanzisha mgogoro usio na kichwa wala miguu!! Na nyumba kuanza kuwaka moto.

I think you women, sometimes you are really trouble makers!! aka pilipilipi's
 
Tatizo unatumia sana nguvu na hisia kum-control mwanamke.!!

Ngoja nikupe short story;
Kulikuwa na mwanaume alijitahidi sana kuni shape vile yeye alikuwa anataka, however alichemka sikuwahi kumuelewa kabisaaa tukaseparate, akatokea mwingine akaweza kunishape kitabia kwa njia rahisi na kwa haraka kwa kitu kile kile alichohitaji yule mwingine.!!
Je, hapo unaweza kuniambia nani alikuwa na matatizo kati yetu watatu??
Sema ukweli, yule wa kwanza hukumpenda ndo maana hukubadilika akatumia nguvu nyingi.

Ila wa pili ulimpenda ndo maana ikawa rahisi kubadilika.
Hii huitwa hypergamy.
 
😂Endelea kuamini karma yako.

Kama ingekua ni karma wazungu wasingekua hapo walipo hasa kwa walichowafanyia waafrika enzi za utumwa.

Kitu ambacho hujui ni hujui tu, karma yenyewe umekaririshwa na wazungu kama ulivokaririshwa amri kumi kukuweka gerezani kifikra😂

Anyway keep it up sio lazima wote tujue
Kungekuwa na karma haya mafisadi yanakomba Hela za wananchi na yanaendelea kula maisha
 
Ila wakati fulani kuishi na mwanamke kunahitaji uvumilivu sana. Kuna wakati mnaweza kuwa katika good terms! From nowhere, unashangaa ameanzisha mgogoro usio na kichwa wala miguu!! Na nyumba kuanza kuwaka moto.

I think you women, sometimes you are really trouble makers!! aka pilipilipi's
Halafu wana-justify upuuzi wao kwa kusema tuishi nao kwa akili.
 
Sema ukweli, yule wa kwanza hukumpenda ndo maana hukubadilika akatumia nguvu nyingi.

Ila wa pili ulimpenda ndo maanq ikawa rahisi kubadilika.
Hii huitwa hypergamy.
Na kwanini afikiri kwamba jukumu la kumbadilisha ni la mwanaume? yeye akiona ana shida kwenye eneo fulani anashindwa kuchukua hatua za kubadilika? Wanawake ni shida tupu, yaani yeye mwenye tatizo hajioni kama ana tatizo ila alieshindwa kumbadilisha ndio anamuona mwenye tatizo.
 
Back
Top Bottom