World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

[emoji23][emoji23] mbona mimi nilikua nakubaliana tu hoja yako mkuu kama ulivyosema nchi zinatumia ela za mikopo vibaya.

Halafu unakosea sana kudhani kila mtu ni kada wa ccm jamaa
 
Ushahidi?
Mmeshindwa kujenga hata km 1 ya sgr kwa Pesa yenu tena sgr yenu imeishia machakani bado mnamtaka mchina aendelee kuwajengea zaidi kifisadi kwanini kutoka hapo machakani msijenge wenyewe tena muweke na mfumo wa umeme kabisa ili mtakapo badili sgr yote kuwa ya umeme mpate unafuu na wepesi, sababu ya kushindwa ni GDP yenu ni ndogo sana wewe tazama GDP ya Nigeria ni kubwa ila hakuna cha maana Nigeria hata ukitafuta mtz ukamwambia umpeleke akaishi Nigeria awezi except hiyo ofa
 
Team domo vs team hapa kazi tu
Sant kanyumba vs sant slave
 
Wewe subiri huu mwaka utajua aujui
Ni wimbo nimeusikia tangu kuijua Tanzagiza.
SGR Dar to Morogoro ilikuwa ifunguliwe November 2019 , one year later bado tunangoja. 😁
 
Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma ikiamini kwamba italindwa na ile special arrangement kwa nchi maskini. Yetu macho!
Hiyo nendeni nayo wenyewe wakenya na vihere here vyenu
 
Hii haina tofauti na kuwekeza mradi wa reli ya bilions of dollar kwenda eneo ambalo lina volume ya cargo less tha 25% na kuacha ukanda wenye cargo kubwa afu wanakuja kuponda wenzao wa Ethiopia hapo tofauti iko wapi maana hata popn yake inakua sana,Kwa miradi hii ya kukidhi matakwa ya kisiasa bila kuangalia uchumi inaweza chukua miaka mingine zaidi ya 50 kufikia Upper middle
 
Jiulizi kwanini wametutangaza kwa haraka??? Kama unayo akili utapata jibu wao siyo wajinga wewe una amini nchi kama Ghana inaweza kuwa juu ya tz kiuchumi !!!
why not kama Botswana au Tunisia iko juu ya Tzn?
 


Wanaotoa hiyo mikopo kwa hizi nchi zetu tayari wanajua tutaitumia vibaya ila tunavyozidi kujizonga na mideni yao na hakuna kitu cha maana kinafanyika ndio wanachokitaka. Mnabaki na deni huku hakuna jambo la msingi mmelifanya.
 
Hawa Watz huwashwa kufikia Kenya man, poleni kwa ndoto za abunuasi
Siku Tzn ikiwa na matured private sector ndio nitaamini iko LMIC stage maana sie wakandarasi bado tunategemea sekta ya uma kupata kazi za kufanya,sekta binafsi hawana pesa wanawapa mafundi individual kazi..yaani unakuta manispaa nzima miaka 3 inapita lakini hakuna mradi hata 1 mkubwa wa sekta binafsi unaoweza fanywa na mkandarasi unlike Kenya ambako tunaona seta binafsi inaongoza gurudumu la maendeleo huku govt ikiwa facilitator
 
Economic model sio moja tu.....zipo nchi kibao zilizoendelea ambazo the state ndo inamiliki biashara kwa kiasi kikubwa
 
Tumekua kwa rate ile ile budda nakushangaa ww tu,btw Ethiopia na ukuaji wao mkubwa lakini bado hawajachomoka ldc

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Shida huwa ni population..ukiweza kukua kuliko population yako then Middle income...gawanya 62bil usd kwa _58mil tanzanians utapata around 1080usd..sasa tukiweza kukuza GDP na pop.ikabaki almost stable..then tutamaintain status...
Ethipoia ana GDP kubwa ila population nayo ni kubwa inafanya abaki kwenye 980usd...

We need either to grow much much our gdp control pop growth
 
Shida huwa ni population..ukiweza kukua kuliko population yako then Middle income...gawanya 62bil usd kwa _58mil tanzanians utapata around 1080usd..sasa tukiweza kukuza GDP na pop.ikabaki almost stable..then tutamaintain status...
Ethipoia ana GDP kubwa ila population nayo ni kubwa inafanya abaki kwenye 980usd...

We need either to grow much much our gdp control pop growth
[/QUOTE]

Hapo suluhisho ni kuongeza uzalishaji tu na kuimarisha sekta zote za kiuchumi. Hakuna haja ya ku conrol population growth.

Population growth kuwekwa katika kipimo cha GDP ni janja ya kuzuia ukuaji wa watu. Na ndio maana nchi nyingine zinafanya sensa feki na kutoa idadi ya population ambayo sio sahihi ili kuonekana wana GDP kubwa. Kuna ka nchi fulani masikini ikiko jangwani na kanchio kadogo tu ila kina population ya 55million people, ila kwenye sensa yao feki wanasema wako na watu 47million.
 
Wanaotoa hiyo mikopo kwa hizi nchi zetu tayari wanajua tutaitumia vibaya ila tunavyozidi kujizonga na mideni yao na hakuna kitu cha maana kinafanyika ndio wanachokitaka. Mnabaki na deni huku hakuna jambo la msingi mmelifanya.

Kaka wewe ni mmoja wa Watanzania ambao huwa naona wana akili hata kwenye kupanga hoja zao, na nikijadili na watu kama wewe huwa inabidi niweke pembeni mambo ya ligi na kuvuta aerial ili tuendane vizuri, ila hapa najaribu nikuelewe nashindwa nini haswa unachobishia, utawalaumu vipi wale watoa mikopo, wao hushinikiza itumiwe vizuri lakini hawana uwezo wa kuja kukagua tofali kwa tofali, hilo sio jukumu lao.
Mimi nimefanya miradi kadhaa iliyogharamikiwa na Benki kuu ya dunia (WB), walikua wanatuma wakaguzi mara moja moja kufanya high level survey, na kila tukikamilisha tulikua tunawapa reports, ila hawakua na uwezo kuingia kwenye kila kitu kukagua, ilikua jukumu la maafisa wa serikali kuhakikisha ubora wa miradi yenyewe sio WB.
Sasa hapo unakuta hao maafisa kwanza wanapiga hela kupita maelezo na hamna mwenye jeuri ya kuwahoji. Lakini upande wa pili miradi yenyewe ilikua na umuhimu mkubwa kwa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…