CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
[emoji23][emoji23] mbona mimi nilikua nakubaliana tu hoja yako mkuu kama ulivyosema nchi zinatumia ela za mikopo vibaya.Hehehe!!! Ungeacha watu wazima waendelee kujadili mambo ya kiutu uzima, wewe subiri muda wa kutupiana madongo utapewa haki yako kwenye level ya uwezo wako. Kwa sasa nawapuuza nyie timu CCM JF brigade aka mataga mpaka nipate nafasi ya kuwajibu, niliwaambia mtafute mmoja wenu awawakilishe maana sina muda wa kujibu kila mmoja wenu mnaponishukia kwa povu, inabidi nawapuuza bila hata kusoma mnaponi-quote.
Ningekua nalipwa ningewapelekesha sana nyie maana uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana, kwa sasa kwaheri.
Halafu unakosea sana kudhani kila mtu ni kada wa ccm jamaa