bora ata somalia gdp yao inaweza kua ya ukweli ila yenu ni ya kwenye makaratasi haikisi hali halisi ya wakenyaSomalia GDP $10b
Tanzania GDP $63b
Kenya GDP $100b
Kwa akili zako za kuvukia barabara huoni Tanzania iko Karibu mno na Somalia tukitumia takwimu?
Kumbe nchi kibao tu za Kiafrika zilishatoka huko,Nchi kama Zambia,Nigeria,nk nk hadi Zimbabwe[emoji116][emoji116]View attachment 1494257
Unashangaa nigeria yenye dollar 400 bln,au huna habari???Kumbe nchi kibao tu za Kiafrika zilishatoka huko,Nchi kama Zambia,Nigeria,nk nk hadi Zimbabwe
Still wote ni middle Income tofauti ni moja tu kwamba Tz kuna miundombinu inayofanana na MIC while Kenya ni km Somalia bado raia wake bado wana njaa, wanapewa msaada wa chakula lkn hata kwenye miundombinu bado kenya hawana reli ya umeme, hawana cable brides, hawana BRT, umeme haueleweki n.k hyo ndyo tofauti kati ya middle Income Tz na middle Income Kenya.Somalia GDP $10b
Tanzania GDP $63b
Kenya GDP $100b
Kwa akili zako za kuvukia barabara huoni Tanzania iko Karibu mno na Somalia tukitumia takwimu?
Afrika kuna nchi zaidi ya 50 lkn unaweza kuona nchi ambazo ni MIC btw najua umeumia sn cz itapelekea kuonekana kwmb arguments zako ni irrelevant, ila ucjal cc wala hatuna tatizo na watu wabinafsi km ww cz tunajua soon utakimbia Jf kwa aibu.Kumbe nchi kibao tu za Kiafrika zilishatoka huko,Nchi kama Zambia,Nigeria,nk nk hadi Zimbabwe
Mkuu hujamuelewa uyo co km anashangaa yn apo anaponda Tz kuingia MIC kwa maana nyingine anataka kuaminisha umma kwamba hilo ni jambo dogo tu japo yy huyo huyo ndiye aliyekuwa anapiga kelele kwamba Tz haina lolote ni ldc, yn huyo ni mchawi kuliko Wakenya, ikifika kipindi Wakenya majeuri km tony254 au mk 254 wanakubali mziki lkn WaTz wapuuzi km huyo bado anakataa basi ni lazima kumkwepa cz ni km mpuuzi tu.Unashangaa nigeria yenye dollar 400 bln,au huna habari???
Wallahi Wakenya mwaka huu lazima mnye Boga [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Serikali yenu baada ya kulala na kuzubaa sasa hivi ndio wanatoa taarifa. Aisee wacheni kuzembea hivi Wabongo.
="https://t.co/Za3dJI3Zui">pic.twitter.com/Za3dJI3Zui— TanzaniaSpokesperson (@TZSpokesperson) July 1, 2020
Kifupi ni wale watu wenye stress[emoji16][emoji16][emoji16].Mkuu hujamuelewa uyo co km anashangaa yn apo anaponda Tz kuingia MIC kwa maana nyingine anataka kuaminisha umma kwamba hilo ni jambo dogo tu japo yy huyo huyo ndiye aliyekuwa anapiga kelele kwamba Tz haina lolote ni ldc, yn huyo ni mchawi kuliko Wakenya, ikifika kipindi Wakenya majeuri km tony254 au mk 254 wanakubali mziki lkn WaTz wapuuzi km huyo bado anakataa basi ni lazima kumkwepa cz ni km mpuuzi tu.
Serikali yenu baada ya kulala na kuzubaa sasa hivi ndio wanatoa taarifa. Aisee wacheni kuzembea hivi Wabongo.
="https://t.co/Za3dJI3Zui">pic.twitter.com/Za3dJI3Zui</a></p>— TanzaniaSpokesperson (@TZSpokesperson) <a href="">July 1, 2020</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
JPM atazungumza lini? Ama hii ni habari ndogo sana kwake. Ingekuwa ni hapa Kenya dunia ingefahamu haya.
Wameshikwa pabaya maana siku zote huwa wanaponda taarifa za hawa WB na kukatalia takwimu zao kila zikiwasema vibaya, sasa hii imewasema vizuri wataonekana wanafiki wakiisifia rasmi.
Ila people kwenye ground wanapigika si kitoto.
Hahaha yani mnataka JPM aitishe press na kutangaza TZ kuingia MIC!? Hiyo kitu haipo, kwanza kwa mipango ya maendeleo ya nchi ilikuwa tunajua bado kufikia huko middle income. Ni kihere here tu cha WB kutupeleka huko. Hivyo sio ishu kubwa ya hivyo. Najua ingekuwa ni hapo kunyaland mngefanya dhifa kubwa ikulu na kuteketeza a lot of tax payers money.
Huwa mnawaita mabeberu, sasa kwa hii mpige kimya na kuufyata maana hamna namna, ni hawa hawa waliosema ukuaji wa uchumi wenu umeshuka mkawatukana sana. Sasa hapa wamesema hatimaye mumepiga hatua kuondokana na mateso ya umaskini na ukata, labda nyie wa mitandao ndio msifie lakini serikali ipige tu kimya na kuwatuma nyie.
Mzee baba, hariri Avatar yako hiyo Isha expire teyari.Huwa mnawaita mabeberu, sasa kwa hii mpige kimya na kuufyata maana hamna namna, ni hawa hawa waliosema ukuaji wa uchumi wenu umeshuka mkawatukana sana. Sasa hapa wamesema hatimaye mumepiga hatua kuondokana na mateso ya umaskini na ukata, labda nyie wa mitandao ndio msifie lakini serikali ipige tu kimya na kuwatuma nyie.
Hatimaye JPM ameongeaJPM atazungumza lini? Ama hii ni habari ndogo sana kwake. Ingekuwa ni hapa Kenya dunia ingefahamu haya.
Huyo sio mtz huyoMkuu hujamuelewa uyo co km anashangaa yn apo anaponda Tz kuingia MIC kwa maana nyingine anataka kuaminisha umma kwamba hilo ni jambo dogo tu japo yy huyo huyo ndiye aliyekuwa anapiga kelele kwamba Tz haina lolote ni ldc, yn huyo ni mchawi kuliko Wakenya, ikifika kipindi Wakenya majeuri km tony254 au mk 254 wanakubali mziki lkn WaTz wapuuzi km huyo bado anakataa basi ni lazima kumkwepa cz ni km mpuuzi tu.