CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
bora ata somalia gdp yao inaweza kua ya ukweli ila yenu ni ya kwenye makaratasi haikisi hali halisi ya wakenyaSomalia GDP $10b
Tanzania GDP $63b
Kenya GDP $100b
Kwa akili zako za kuvukia barabara huoni Tanzania iko Karibu mno na Somalia tukitumia takwimu?