World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Somalia GDP $10b
Tanzania GDP $63b
Kenya GDP $100b

Kwa akili zako za kuvukia barabara huoni Tanzania iko Karibu mno na Somalia tukitumia takwimu?
Still wote ni middle Income tofauti ni moja tu kwamba Tz kuna miundombinu inayofanana na MIC while Kenya ni km Somalia bado raia wake bado wana njaa, wanapewa msaada wa chakula lkn hata kwenye miundombinu bado kenya hawana reli ya umeme, hawana cable brides, hawana BRT, umeme haueleweki n.k hyo ndyo tofauti kati ya middle Income Tz na middle Income Kenya.
 
Kumbe nchi kibao tu za Kiafrika zilishatoka huko,Nchi kama Zambia,Nigeria,nk nk hadi Zimbabwe
Afrika kuna nchi zaidi ya 50 lkn unaweza kuona nchi ambazo ni MIC btw najua umeumia sn cz itapelekea kuonekana kwmb arguments zako ni irrelevant, ila ucjal cc wala hatuna tatizo na watu wabinafsi km ww cz tunajua soon utakimbia Jf kwa aibu.
 
Unashangaa nigeria yenye dollar 400 bln,au huna habari???
Mkuu hujamuelewa uyo co km anashangaa yn apo anaponda Tz kuingia MIC kwa maana nyingine anataka kuaminisha umma kwamba hilo ni jambo dogo tu japo yy huyo huyo ndiye aliyekuwa anapiga kelele kwamba Tz haina lolote ni ldc, yn huyo ni mchawi kuliko Wakenya, ikifika kipindi Wakenya majeuri km tony254 au mk 254 wanakubali mziki lkn WaTz wapuuzi km huyo bado anakataa basi ni lazima kumkwepa cz ni km mpuuzi tu.
 
Kifupi ni wale watu wenye stress[emoji16][emoji16][emoji16].

Kila kitu kwake ni tatizo.
 
JPM atazungumza lini? Ama hii ni habari ndogo sana kwake. Ingekuwa ni hapa Kenya dunia ingefahamu haya.

Wameshikwa pabaya maana siku zote huwa wanaponda taarifa za hawa WB na kukatalia takwimu zao kila zikiwasema vibaya, sasa hii imewasema vizuri wataonekana wanafiki wakiisifia rasmi.
 
Hahaha yani mnataka JPM aitishe press na kutangaza TZ kuingia MIC!? Hiyo kitu haipo, kwanza kwa mipango ya maendeleo ya nchi ilikuwa tunajua bado kufikia huko middle income. Ni kihere here tu cha WB kutupeleka huko. Hivyo sio ishu kubwa ya hivyo. Najua ingekuwa ni hapo kunyaland mngefanya dhifa kubwa ikulu na kuteketeza a lot of tax payers money.
 
Hadi muda huu hakuna sehemu world bank imepublish huu uongo wa wabongo
 
Hahaha yani mnataka JPM aitishe press na kutangaza TZ kuingia MIC!? Hiyo kitu haipo, kwanza kwa mipango ya maendeleo ya nchi ilikuwa tunajua bado kufikia huko middle income. Ni kihere here tu cha WB kutupeleka huko. Hivyo sio ishu kubwa ya hivyo. Najua ingekuwa ni hapo kunyaland mngefanya dhifa kubwa ikulu na kuteketeza a lot of tax payers money.

Huwa mnawaita mabeberu, sasa kwa hii mpige kimya na kuufyata maana hamna namna, ni hawa hawa waliosema ukuaji wa uchumi wenu umeshuka mkawatukana sana. Sasa hapa wamesema hatimaye mumepiga hatua kuondokana na mateso ya umaskini na ukata, labda nyie wa mitandao ndio msifie lakini serikali ipige tu kimya na kuwatuma nyie.
 
Bado watabaki kuwa ni mabeberu tu, na pia ni kihere here chao kutangaza kuwa tumeingia MIC maana kwa hesabu zetu ilikuwa ni mpaka 2025
 
Huwa mnawaita mabeberu, sasa kwa hii mpige kimya na kuufyata maana hamna namna, ni hawa hawa waliosema ukuaji wa uchumi wenu umeshuka mkawatukana sana. Sasa hapa wamesema hatimaye mumepiga hatua kuondokana na mateso ya umaskini na ukata, labda nyie wa mitandao ndio msifie lakini serikali ipige tu kimya na kuwatuma nyie.
Mzee baba, hariri Avatar yako hiyo Isha expire teyari.
 
Mkuu hujamuelewa uyo co km anashangaa yn apo anaponda Tz kuingia MIC kwa maana nyingine anataka kuaminisha umma kwamba hilo ni jambo dogo tu japo yy huyo huyo ndiye aliyekuwa anapiga kelele kwamba Tz haina lolote ni ldc, yn huyo ni mchawi kuliko Wakenya, ikifika kipindi Wakenya majeuri km tony254 au mk 254 wanakubali mziki lkn WaTz wapuuzi km huyo bado anakataa basi ni lazima kumkwepa cz ni km mpuuzi tu.
Huyo sio mtz huyo
 
Back
Top Bottom