World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Mpo tu kwenye border. Eti mna Gdp per capita ya $1,080. Yaani mnaweza kurudi nyuma dakika yoyote. World bank wangengoja kwanza angalau mfikishe Gdp per capita ya $1,200 ili mpandishwe.
Mpaka uje kutangazwa inabidi umaointain for several years, unless kutokee sudden shocks sidhani kama tutarudi nyuma hapa ni kwenda mbele tu!
 
Ukubwa unakuja na changamoto,hii mambo ya kuitwa Lower middle Income bado ni matusi ingawa ni hatua nzuri.Vipi kuhusu Ghana mbona siioni hapa
Ghana ni middle income toka zamani.Hizo ni zile zinazopandishwa madaraja kwa sasa.
 
Jibu ni kwamba bado EPA agreement inatakiwa kuangaliwa upya.. Hata kama tutaingia uchumi wa kati, yani kuwe na fair trade!
 
Lengo ni kuwa upper middle class? Kwa mipango gani mliyonayo? Au hamjioni kuwa mnarudi reverse? Wakenya kuna mda mnafurahisha sana.
 
Jibu ni kwamba bado EPA agreement inatakiwa kuangaliwa upya.. Hata kama tutaingia uchumi wa kati, yani kuwe na fair trade!View attachment 1493127View attachment 1493128
Hata kama tungekuwa high Kwan hayo si makubaliano ya biashara au Kwan lazima ? Ndio maana tunazema Kenya wanamawazo ya kitumwa, yaani kitu akisema mzungu Kwa uelewa wao wa akili hautakiwi kupinga du mpaka huruma.
 
Hahaha, eti mnaendelea na safari, kwa hiyo sisi wengine tunafanya nn?mwaka huu mtachanganya mpaka mkome.
 
Huu ni uongo mtupu. Dunia itapasuka katikati kabla ya hili kufanyika.
Mauritius inakuwa first world? Yaani wanaitwa high income country. Hongera sana kwao.
Nnachowapendea Wakenya huwa mnapitia hz stages vzr sn [emoji116][emoji116]

1. Denial stage (huwa mnaumia sn hapa),

2. Negotiations (hapa huwa mnaanza kukubaliana na ukweli lkn mnatoa vi7bu),

3. Acceptance (hapa huwa mnakubali huku mkisubiria lijalo)[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Propaganda dhaifu!
Natumai ulikuwa unamjibu huyu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
La hasha. High income inaanzia hio $ 12,000 na haina ceiling, yaani haina mwisho. Qatar kwa mfano ina Gdp per capita ya $68, 000 na bado wao ni high income tu. Hakuna viwango kwenye high income ukishafika umefika.
Iwe first World na 12 000 USD/per capital? High income kuna lower, middle na upper, ...
 
Mpo tu kwenye border. Eti mna Gdp per capita ya $1,080. Yaani mnaweza kurudi nyuma dakika yoyote. World bank wangengoja kwanza angalau mfikishe Gdp per capita ya $1,200 ili mpandishwe.
Mkuu amini kwamba hayo ni makaratasi tu ila reality ni kwamba Tz iko mbele ya kenya kitambo tu, inavigezo vyote vya kuwa middle Income, inalisha ukanda huu kitambo tu but now tumeamua kuudhihirishia dunia who we are.
 
Aaah wapi,huyo umeme unaoingia kichwani ni mwingi kuliko output inayotolewa na hiyo kichwa[emoji16][emoji16].

Muda wote anarusha vibonzo vya aiina masoud kipanya,na gado.
Namfahamu vizuri mkuu [emoji3][emoji3]
 

Mkuu naomba utuwekee Source (Url) ya hii taarifa,

Ahsante

Update

Link husika ni hii hapa World Bank Country and Lending Groups – World Bank Data Help Desk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…