World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020


Brazil?? Like seriously Brazil ilikua imewapa mkopo na ikawasamehea, jameni mbona wabongo, hivi nani hamjamkopa, hebu nimuite yule mdau wa mipovu Oii
 
Sisi ndo taifas we pimbi
 

Sio tu hapa JF, sifungamani na sera zao sana licha ya kufanya nao kazi. Na nimewahi kuwauliza ikiwa kweli wanaufanisi kama wanavyojipambanua kwamba wanapingana na rushwa, kudumisha utawala bora na democrasia, kuboresha maisha ya watu, KUTOKOMEZA UMASKINI, wanitajie nchi moja wanayoweza kuitolea mfano kwamba wameisaidia ikajikwamua na sasa imesimama yenyewe, hawakuweza kujibu hilo.

Nawaelewa vizuri mno sio suala la mihemko wala ushabiki, ndio maana hata hii habari sioni chochote cha kushangilia hapo.
 
Eti sasa wewe unajua mambo haya kushinda World Bank. Eti sasa wewe juha wa Tandale unakosoa World Bank? Eti sasa unapinga data ya World Bank kuwa TZ ni middle income? Aisee ile bangi unavuta weka chini kidogo ubongo upumzike. Hata mimi nimezungumza nao na najua wanavyofanya kazi. Wengi ni Maphd wa economics. Story za vijiweni usilete huku.
 
Eti sasa wewe unajua mambo haya kushinda World Bank. Eti sasa wewe juha wa Tandale unakosoa World Bank? Eti sasa unapinga data ya World Bank kuwa TZ ni middle income? Aisee ile bangi unavuta weka chini kidogo ubongo upumzike.

You are right Sir!
 
I know i am right. World Bank ina heshima yake na ningependa sana kufanya kazi huko siku za usoni. Lakini wanahitaji sana watu wenye Phd ya economics. Sio masters kama sisi.

You are right Sir!
 
 

Mkuu lafudhi yako inafanana na makarao!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani for the first time mkenya kupost thread ya habari njema kuhusu TZ,inaonesha mmeanza kukubali mziki wetu.
Niliwaambia wasubiri mwakani yani huu mwaka wakabisha sasa wameanza wao wenyewe kujipendekeza kwa kuleta huu Uzi komora096 njoo huku ,,,, sasa nawaambia tena uchaguzi wa Kenya 2022 utakuwa mbaya sana na wahatari sana naona damu Kenya msije sema sikuwaambia maana hata ili LA uchaguzi nimewaambia siku nyingi
 
Wewe mbumbumbu nilikuambieni huu mwaka mkabisha sasa ndiyo kwanza miezi 7 bado miezi 5 na baada ya hapo wakenya wote watapiga magoti kwa tz mmoja mmoja hadi viongozi wenu na mabeberu watakili
 
Mpo tu kwenye border. Eti mna Gdp per capita ya $1,080. Yaani mnaweza kurudi nyuma dakika yoyote. World bank wangengoja kwanza angalau mfikishe Gdp per capita ya $1,200 ili mpandishwe.
GDP per C ya tz yakweli kwa sasa ni $1500 toka kitambo sema nyinyi wschumi feki amuwezi elewa
 
Duh! hapo kwenye mpaka kabisa na wanavyosifia utadhani ndio wameaga umaskini kabisa tuusan
Jiulizi kwanini wametutangaza kwa haraka??? Kama unayo akili utapata jibu wao siyo wajinga wewe una amini nchi kama Ghana inaweza kuwa juu ya tz kiuchumi !!!
 
Mabeberu wanakudanganya maisha ya watz ni bora Mara 3 ya wakenya huo ndiyo ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…