Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Kamanda machozi ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
Hapa Zitto anashambuliwa kuwa kaumbuka wakati ni kinyume chake.
Tatizo kubwa hapa JF ni wachangiaji wengi kutosoma habari na kuelewa kabla ya kuanza kukosoa au kusifu. Wengi wanadoma vichwa vya habari tu na kuanza kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
April fool


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Soma vizuri masharti ya World Bank ya mkopo. Serikali imekubali yale yote iliyoyakataa mwanzoni...Hivyo Zitto Kabwe ndiyo mshindi.
 
Mponde tu zitto,lakini kuna funzo kama nchi imelipata..kaa kimya ujui mashariti yaliyomo
 
Ulichosema ni ukweli mtupu! Kuna mmoja hapo juu nimempa link ya World Bank ikizungumzia masharti ya mkopo na pia nimempa reference ya doc ya Wizara ya Elimu inayosema wazi kwamba serikali ina wajibu wa kuhakikisha watoto waliopata ujauzito wanarudi shuleni na kuendelea na mfumo rasmi unless wenyewe wa-opt kufuata mfumo usio rasmi!

Nashangaa hadi sasa sijamuona tena wakati alikuwa ananitolea povu kwamba nimetumwa kusambaza uzushi!
 
Wapinzani mnanunuliwa sababu mnajiuza yani mna njaa kali hadi mnajiuza kwa Polepole

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo fedha za mikopo na misaada walipaji ni Watanzania masikini nyie kopeni halafu mpeni mabulungutu Polepole ila iko siku tutawatundika pale mnazi mmoja
 
Kwa kifupi masharti ni haya:
•watoto warudi shule bila masharti
•hela itaanza kutokewa 2021 baada ya uchaguzi
•itatolewa kwa tranches baada ya kuridhika inatumika sawa sawa
•mradi umerekebishwa
•CSO zihusishwe kwenye mradi
 
Kuna mahali document inasema serikali yetu haina sheria inayokataza wajawazito kuendelea na masomo baada ya kujifungua! Someone has been disowned! No wonder baada ya kutembelea ofisi za WB waziri wetu amepoa kama maji ya mtungi.
 
Vita kuu hapa ilikuwa ni je tundelee na mila na tamaduni zetu au tuhamie tamaduni za magharibi?
Nnachokiona hapa Zitto kashindwa.
Hawa ma-big wameidhinisha mkopo bila Tanzania kubadiri hata kipengera kwenye sheria zetu zinazohusu umri wa kuwa mtu mzima. Kila taifa natamaduni zake! Sisi utamaduni wetu ni marufuku mtu mzima kucheza na watoto,
Mwanafunzi mwenye mimba ni mtu mzima tayari, hawezi kukaa darasa moja na watoto. Kibaya zaidi, bajeti yetu hairuhusu kusomesha wazazi.
 
Nyie watu huwa mnachekesha sana! Kurudia tena naona taabu kueleza kitu kile kile tena na tena! Kama vipi, soma post #187... bofya link ifuatayo
Kwenye post nimweka hadi sehemu ya doc ya Wizara ya Elimu inayotoa Mwongzo kwa mzazi na serikali kuhakikisha watoto waliopata ujazito wanarudi shule!

So, hakuna cha kwamba eti tamaduni zetu wakati serikali kupitia wizara husika ilishatoa mwongozo more than 10 years ago!

Sio hivyo tu, nimeweka hadi taarifa rasmi ya the World Bank kwahiyo unaposema eti WB wameidhinisha mkopo bila Tz kubadili sheria, unakuwa unachekesha mzee!!!
 
Ok sawa, Tusubiri utekelezaji. Usimuamini mwanasiasa!
 
Ok sawa, Tusubiri utekelezaji. Usimuamini mwanasiasa!
NI kweli, Mwanasiasa haaminiki, na WB wanalifahamu hilo ndio maana hawakutaka kutoa pesa zote kwa mkupuo, na badala yake wanatoa kwa mafungu ili kusikiliizia ikiwa serikali inatekeleza masharti ya mkopo!!
 
MATAGA kuna ujumbe wenu huku....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…