Si matokeo mabaya. Timu zote zimefanya makosa ambayo yamewanyima goli za wazi. RSA wamecheza vizuri kipindi cha pili kama nilivyotegemea. Kwani walimaliza vizuri kipindi cha kwanza na hiyo imewapa nguvu!
Watazamaji wa ITV (UK) wamemchagua Tshabalala "The man of the Match". Nadhani anastahili.