Carlos Tevez leo atakuwa Man of the Match, natabiri ataisumbua sana Ngome ya Nigeria lakini Higuain ndiye atakayefumania Nyavu
Hahahaha, mi naogopa kuangalia match hiyo @ AbdInvisible Nigeria ni marehemu watarajiwa hapa..Sioni kibonde.
Nigeria inabidi ijikamue kwelikweli kupenya kwenye hili kundi..si kundi la masikhara ukilinganisha na kiwango chao.Hahahaha, mi naogopa kuangalia match hiyo @ Abd
Ninavyowaona hawa Korea, Nigeria wana kibarua kizito. Greece pia hatataka kuondoka patupu, anatafuta kibonde wakeNigeria inabidi ijikamue kwelikweli kupenya kwenye hili kundi..si kundi la masikhara ukilinganisha na kiwango chao.