I second your opinion AW....labda wanaogopa kuwaoffend waliotoa jina la Jabulani
hako ka mguu nimeka zoom ,lakini hakaji kabisa (senk god waifu hayupo home ), hivi leo uko upande gani?:fencing:
Hahahahahahah ! Mzee bei ya Jersey za England ziko reduced kwa 70% hahaha zilikuwa hazishikiki thanks to Mueller and co.
:yo:
:horn::horn::horn::horn::horn:
Hahahahahahah ! Mzee bei ya Jersey za England ziko reduced kwa 70% hahaha zilikuwa hazishikiki thanks to Mueller and co.
Baby can have ile miguu ya Kizenji? hii nahitaji mawani ya Kapello loooh LOL
redknapp anaitaka timu,wampe tu haone kwamba tatizo sio kocha tatizo wachezaji maanake jamaa yule jeuri sana na analia sana na makocha wakigeni.
mkuu bado upo na SPAIN? ,hehehe just to refresh my memoryduuh hawa jamaa wanafanana sana .itakuwa powa mmoja akipata goli kabla half time.
:yo:
:horn::horn::horn::horn::horn:
Hivi mbu alipotelea wapi? Maana naona Team England imemuangusha once again.
huyu Torres liverpool wawape tu Chelsea hili wapate hela jamaa ana sinzia sometimes kinoma.
mkuu bado upo na SPAIN? ,hehehe just to refresh my memory
hako ka mguu nimeka zoom ,lakini hakaji kabisa (senk god waifu hayupo home ), hivi leo uko upande gani?
Hivi mbu alipotelea wapi? Maana naona Team England imemuangusha once again.