Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
nimepowa mkuu bila maumivu kwani nilidandia gari lao nikijua nitafaidi mpira wao kumbe ujerumani ndio kaenda kusakata mpira wa maana kushinda wao.Pole mkuu, maana hicho kichapo si cha kawaida
German efficiency is amazing to th point I wish Wangeendelea kuwa Wakoloni wetu na si hawa mediocre kina Prince Rooney. Just think of a BMW, Mercedes Benz, Audi, Siemens, and now Kloser following the steps of Kaiser, Gard Muller, Rudi Voller Rumenigge, Matheus....Dang, I will be in Germany for October Fest!
nimepowa mkuu bila maumivu kwani nilidandia gari lao nikijua nitafaidi mpira wao kumbe ujerumani ndio kaenda kusakata mpira wa maana kushinda wao.
kwa kifupi Argentina walikuwa wamezidiwa kila sehemu.
Kilichotokea leo ni kilekile kilichotokea kwene game na England, Ujerumani inatangulia kupata goli, timu pinzani inajaribu kurejesha muda unaenda bila mafanikio, kisha wanapanic wanapigwa kwene counter au moves zisizo na kichwa wala miguu. Strength ya Ujereman so far ni kwene ulinzi na counter attacks.
Leo Argentina walikaribia kuweka mpira kwapani, ha ha ha!
Mnakumbuka Tanzania iliyofundishwa na Rudi Gutendorf?
Kuna wakati waliwazidi ball possession Wajerumani, baadaye upepo ukabadilika. Messi kwa chenga ni mwenyewe ila hakuwa na bahati ya kufunga magoli
Maradona hana tofauti na Dunga, they don't know what the hell they're doing!.
.......Kombe linaweza kwenda Germany mwaka huuuu.Go Gooooooo Germany!!