Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Hebu tueleze...
Kuna tofauti gani kati katika matamshi ya majina ya Muller na Mullah.
Huyu bwana kama kawaida yetu, hakutulia wala kutumia akili alipokuwa anapiga ile penalti. Kilichokuwa mbele yake ni u stardom na confidence iliyopitiliza. As usual, same problem with what experts call mental strenght. When it comes to penalt shoot outs, one has to be himself, cool and focused. The brain should be there and not only the phisique....Once again, tufikirie vizuri namna bora ya kuendeleza our mental state when dealing with serious issues. We never take them seriously and all that is happening around, to me we deserve every bit of it.
Hakuna suala la bahati wala bahati mbaya. Ni upuuzi wetu tu
Yule refa naye hatosahulika na Afrika kwa kushindwa kutambua kuw lile lilikuwa goli la wazi kwani yule Mruguway aliuzuia mpira ndani goli.
Jana nilisikitika sana na leo sijatamani hata kusoma gazeti kwenye kurasa za michezo. It was our time to win but referee twisted us
msiwakose spain mabingwa wa euro 2008 saa 3 na nusu kwa saa za tz wapo uwanjani,ndio mabingwa wapya,ujerumani anachapwa tu nusu na spain hilo wanalijua wazi.
Chancellor wa Ujerumani naye hakuweza kujizuia kushangilia mabao pale uwanjani. Naona vijana wakichukua kombe watapata zawadi nono kutoka kwa serikali yao.