Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
Mimi nilisema huko nyuma kwamba leo Wajerumani wanawaondoa Waargentina na kutupunguzia adha ya kuona nyeti za Maradona, maana naamini mshindi wa mechi ya leo ana nafasi kubwa ya kuutwaa ubingwa kuliko timu nyingine yoyote kati ya zilizobaki.
Hii match nna wasiwasi Paraguay watalala...Paraguay vs Germany itakuwa semi final nzuri maana timu zote zina mchezo tofauti, Paraguay wazuri kushtukiza na kupress
Hii match nna wasiwasi Paraguay watalala...
Mda umefika sasa wa Fabregas kupewa nafasi.
Dreaming?Spain 1- paraguay 0
Spain 1- paraguay 0
Spain 1- paraguay 0
Duu Spain nao wamekosa tuta.