Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
Mbona safari ya Argentina kurudi kwao imefika!
Hawawezi kupita mbele ya 'Chuma cha Pua' cha Mjerumani!!
Mbona safari ya Argentina kurudi kwao imefika!
Hawawezi kupita mbele ya 'Chuma cha Pua' cha Mjerumani!!
jamaa mwanga yule.... we mwangalie vizuri...Hata alipokuwa Real madrid alikuwa hivyo hivyo, huwa anacheka mchezaji anapokosea, magoli huwa hashangilii kwanza ndiyo anageukia pembeni au nyuma.
Loading...
BERLIN - JULY 03: A German football supporter takes a shower prior to the 2010 FIFA World Cup quarter final match between Germany and Argentina at a live public viewing on a large screen monitor at FIFA Fanmeile on July 3, 2010 in Berlin, Germany.
Hivi hawa hii kitu ya ku-shower kabla ya mechi ndio tunguli lao au!.
nilijua tu,sasa wengi wamehamia germany,sisi spain toka mwanzo mgumu mpaka mwisho kazi kwelikweli
hehehe nafanya kazi ofisi za utabiri wa hali ya hewa. wale ARGIES daily tunawaona wakali lakini jana walionekana kama timu ya taifa ya msumbiji tu. dah! hitler wanatisha aiseeKlorokwini hujui kukosea...... Naona ujerumani imeanza kunifurahisha mapema sana
hehehe you were very wrong.Dammit.....I really thought Argentina will make it for the finals :A S-eek: