World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hata alipokuwa Real madrid alikuwa hivyo hivyo, huwa anacheka mchezaji anapokosea, magoli huwa hashangilii kwanza ndiyo anageukia pembeni au nyuma.
jamaa mwanga yule.... we mwangalie vizuri...
 
hilo teja hamjui alishafahamu kuwa hawatachukua hilo kombe? hebu ona kichapo kitakatifu walichopokea leo toka Germany,lakini hapaswi kupuuzwa tena wala msimchokoze huyo ni teja akiambiwa atoe sample ya kile alichosema hashindwi kuonyesha hata nusu ya hizo bidhaa njema kama alivyoziita bi-dada FL
 
Dammit.....I really thought Argentina will make it for the finals :A S-eek:
 
Green Point Staduium, Cape Town...walipocheza Ujeru na Argentina....

_48244154_greenpoint_eruters.jpg
 
Klose atia cha pili!!!

_48245386_klose_reuters.jpg



_48245453_klosecelebrates_reuters.jpg



Schweinsteiger atia cha tatu!!!

_48245521_friedrich_getty.jpg



Klose afunika la nne..ngoma kwishnei!!!

_48245676_klosesecond_ap.jpg
 


Loading...

BERLIN - JULY 03: A German football supporter takes a shower prior to the 2010 FIFA World Cup quarter final match between Germany and Argentina at a live public viewing on a large screen monitor at FIFA Fanmeile on July 3, 2010 in Berlin, Germany.

Hivi hawa hii kitu ya ku-shower kabla ya mechi ndio tunguli lao au!.

Chuchu sio kwa saana lakini eeh!
 
Spain wakapata Penanti na kufunga lakini Refa akasmea irudiwe....

_48246855_alonso_766.jpg


kurudia jamaa wakakosa...duh!!!!

_48246856_pen_766.jpg



Mwishoe Villa akaokoa jahazi....

_48246912_vil_766.jpg



_48246992_final_766.jpg
 
Brazil wanavaa jezi za Taifa Stars,lazima wapewe dozi
 
Klorokwini hujui kukosea...... Naona ujerumani imeanza kunifurahisha mapema sana
hehehe nafanya kazi ofisi za utabiri wa hali ya hewa. wale ARGIES daily tunawaona wakali lakini jana walionekana kama timu ya taifa ya msumbiji tu. dah! hitler wanatisha aisee
 
Back
Top Bottom