World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Anyway, Algeria had better chances to win than Slovenia and they squanderred, blame it on Jabulani!
 
Timu ya Algeria inaonekana kama ni timu iliyokaa kambini kwa muda na wanacheza kwa kuelewana. yes I am impressed hata kama wameshafungwa!

kama ALgeria wanawakilisha timu iliyokaa kambini kwa muda(sijui mrefu au mfupi) na inayocheza kwa kuelwana.....basi kazi ipo WC hii......
 
Huyu Thompson Gazzelle vipi tena? yani keshafanya kabumbu kuwa American Football? angefaa sana kuwa Wide Receiver! Lakini tuache uongo, I am impressed by Algeria wanavyotandaza boli!

Msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu. Sikubahatika kuyaona mashindano ya Mataifa ya Afrika ambayo Algeria waliutwaa ubingwa...labda kama walibebwa na marefa.
 
Mabingwa wa Afrika ni Egypt mkuu..................sio Algeria

hahahaha..........Mfaranyaki na soccer wapi na wapi aisee...........mwambie asubiri gemu la akina LAL na Celtics...........hahahahah
 
Duuhh Ruud Gullit anamponda kweli kweli hapa golikipa wa Algeria............eti anafaa kucheza Volleyball na sio football/soccer......kwi kwi kwi
 

I second your opinion Rev.
 
Jamaa kaingia kama sub na akala Yellow mbili za haraka...nje!!!!

 
hii timu ndio mtu unaweza kusimama kwa kujiamini na kusema tegemeo la africa,naamini GHANA na IVORY COST ndio watatuwakilisha vizuri na leo naamini Ghana watashinda...............C'MON U GHANAzz...............
 
nani anaziba pengo la Essien leo..............
 
kama ALgeria wanawakilisha timu iliyokaa kambini kwa muda(sijui mrefu au mfupi) na inayocheza kwa kuelwana.....basi kazi ipo WC hii......

MB,

Uliangalia jinsi England walivyoonekana vihiyo jana? They could not even make 3 passes past midfield to build an attack. Sanasana kina Terry na King ndio walikuwa wakipigiana pasi mbili tatu lakini mpira ukifika kwa kina Lampard, Gerrad, Lennon unageuka kuwa Jabulani na ukitua kwa Heskey au Rooney wala hautulii.

Au tutasema kisa US walikuwa makini? What about US wenyewe? ukiondoa Donovan na Dempsey hapa na pale, bado flow ya game haikuwa impressive at all! Heri na hat game ya Mexico na RSA au South Korea!

England ni timu yenye jamaa wa majina makubwa, walishindwa kucheza kama timu, algeria is an underdog, wamecheza kama timu na wanaelewana hata kama wamefungwa!
 
Tuache uongo, the Ayew family has a dynasty. Abedi, Kwame na sasa hawa vijogoo wawili Rahim na Andre!
 

I second that.
Algeria waliumizwa na ile red card ya yule sub wao.They played with more purpose but the costly mistake by their goalie proved to be their undoing.

Infact they were better than the French..my opinion.
 
Abdi,

THe frogs wont get anywhere... Tena wana yule mzembe wa kule kwetu Chelsea Anelka na mara kumi alitolewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…