Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Anyway, Algeria had better chances to win than Slovenia and they squanderred, blame it on Jabulani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya Algeria inaonekana kama ni timu iliyokaa kambini kwa muda na wanacheza kwa kuelewana. yes I am impressed hata kama wameshafungwa!
Huyu Thompson Gazzelle vipi tena? yani keshafanya kabumbu kuwa American Football? angefaa sana kuwa Wide Receiver! Lakini tuache uongo, I am impressed by Algeria wanavyotandaza boli!
Mabingwa wa Afrika ni Egypt mkuu..................sio Algeria
In comparison to England game last night or Mexico , RSA, Algeria are very well coordinated na hata pasi zao ni za uhakika. Angalia butua butua na uncertainty iliyokuwepo jana kwenye game la US na England, angalia mechi ya kwanza, ilivyokuwa ngumu kwa RSA pamoja na draw.
Timu ya Algeria inaonekana kama ni timu iliyokaa kambini kwa muda na wanacheza kwa kuelewana. yes I am impressed hata kama wameshafungwa!
Waliofungwa ni waarabu koko sio waafrika..teh teh teh..daaaaaa, africa tumefulia tena...
nani anaziba pengo la Essien leo..............
kama ALgeria wanawakilisha timu iliyokaa kambini kwa muda(sijui mrefu au mfupi) na inayocheza kwa kuelwana.....basi kazi ipo WC hii......
MB,
Uliangalia jinsi England walivyoonekana vihiyo jana? They could not even make 3 passes past midfield to build an attack. Sanasana kina Terry na King ndio walikuwa wakipigiana pasi mbili tatu lakini mpira ukifika kwa kina Lampard, Gerrad, Lennon unageuka kuwa Jabulani na ukitua kwa Heskey au Rooney wala hautulii.
Au tutasema kisa US walikuwa makini? What about US wenyewe? ukiondoa Donovan na Dempsey hapa na pale, bado flow ya game haikuwa impressive at all! Heri na hat game ya Mexico na RSA au South Korea!
England ni timu yenye jamaa wa majina makubwa, walishindwa kucheza kama timu, algeria is an underdog, wamecheza kama timu na wanaelewana hata kama wamefungwa!
nani anaziba pengo la Essien leo..............