World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)




Uwanja umejaa kinomaaa!!!

National anthems zinapigwa ikianza na Serbia!
 
Ghana wana kazi ngumu sana hapa na wanaitaji maximum perfomance kuwafunga hawa wa serbia.Serbia wazuri nao i hope Ugali wetu wa kiafrika utatusaidia kuwafung
 
Comon GHANA its time for Africa,list limekamilika .I hope Boateng atapiga game lake la Pompey kule.
 
Golden chance na hii free kick, Jabulani fanya vitu vyako, Ghana ifunge!
 
Refa is in the way...gaadeeemmm!!!

Corner ya pili kwa Ghana....ngoma tamu kweli wakuu!
 
Hawa jamaa nadhani 2006 wakiwa Serbia&Montenegro waliwahi kupigwa 6-0 naona this time wakiwa kama Serbia wako Safi sana
 
huwa tunafungwa kijinga kama hiyo free kick ilivyopigwa...................daaahh afadhali tumepona hapo
 
Ghana are committing very very silly mistakes at dangerous locations.......and if they continue like this its gonna cost us for sure.............

halafu wana-give away possession very easily........im not impressed
 
Serbia naona wako creative sana kwenye kupiga foul zao inabidi Ghana wawe makini sana kwenye rafu za kijinga karibu na golini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…