Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
mkuu ujerumani si wametutoa jana lol.Ukame wa mabao I am sure Brazil, span and italy will not let us down and second matches too will produce more goals
benitez kamuua,dogo alikuwa mzuri tu.huyu babel asipoangalia kiwango chake kitadumaa.....unaona kuna huyo dogo sijui ELLIA...anasumbua haswa hicho unachosema pace....
uzuri wake kwenye timu ya taifa sio mbovu kama lile LAMPARD lenu lol.LAMPARD timu ya taifa ni useless.
angalia tu hapo hapo ofisini bosi akitokea drop window ,atdhe.net
jamaa wanajua hilo swala lakini wanalazimisha,Capello nilijua mtemi anaweza kumgeuzia kibao kumbe wai anawaogopa waingereza.HAhahahah Lampard can not play with Gerald, they are both attacking midfielders ...hujisahau na kwenda mbele kuongeza mbele mashambulizi...wanaacha vacuum kwa mabeki....Gerald is a captain hawezi kuwa dropped na Lamps is simply the best in da world.....upo?
lol sawa sawa hujakosa sana lakini wala nini game limepooza.boss kakaba hatoki ofisini
nacheki kimtindo-mtindo tu,nategemea apa JF lol
hainogi kabisaaa
vipi update jamani???
.....unaona kuna huyo dogo sijui ELLIA...
jamaa wanajua hilo swala lakini wanalazimisha,Capello nilijua mtemi anaweza kumgeuzia kibao kumbe wai anawaogopa waingereza.
jamaa hakuonekana kabisa kwenye game against USA.na ndio kinacho walostisha pale kati manake hawana creativity yoyote wanategemea purukushani tu za ajabu ajabu.
jamaa kaokoa vizuri sana ,beki mzembe anajifunga pale.
nilimshangaa sana kumleta SWP wakati ana Joe Cole kwenye bench,Milner surprise kubwa sikumtegemea Capello kufanya maamuzi ya kizembe kama vile.Capello taahira! Ledley King hayuko 100% alimuanzisha, Angedrop mmoja wapo Gerald ama Lampard acheze Gareth Barry hata kama hayuko 100% kumuanzisha Milner wakati amefanya mazoezi siku 2 ni ujinga, golini kumweka Rob Green ni kituko na Kumwacha Cole Joe kuozea bench amelipa 1-1. Game ijayo na zinazofuata watu kama akina SWP hawana akili ya mechi kubwa. Anyway England hawafiki mbali...wakijitahidi watavuka mtoano tu
na huyo huyo ndio aliojifunga mwanzo wa 2nd half...............
Hiyo ndiyo 'own goal - og'bahati mbaya hile mkuu mpira kaokoa vizuri ule sema umemgonga agger ndio ukaenda golini,na nashangaa wamemuandika yeye kajifunga wakati mpira umemgonga Agger ndio ukaingia kukosa kumgonga Agger usingeingia.
Kuongezea Lamps is good in Chelsea team sababu kuna defensive midfielder wazuri (Ballack, Mikel, na Essien)!