World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

RVP anakosa bao la wazi tena..............aaaarghhhhhhhh
 
uzuri wake kwenye timu ya taifa sio mbovu kama lile LAMPARD lenu lol.LAMPARD timu ya taifa ni useless.

HAhahahah Lampard can not play with Gerald, they are both attacking midfielders ...hujisahau na kwenda mbele kuongeza mbele mashambulizi...wanaacha vacuum kwa mabeki....Gerald is a captain hawezi kuwa dropped na Lamps is simply the best in da world.....upo?
 
jamaa wanajua hilo swala lakini wanalazimisha,Capello nilijua mtemi anaweza kumgeuzia kibao kumbe wai anawaogopa waingereza.

jamaa hakuonekana kabisa kwenye game against USA.na ndio kinacho walostisha pale kati manake hawana creativity yoyote wanategemea purukushani tu za ajabu ajabu.
 
Capello taahira! Ledley King hayuko 100% alimuanzisha, Angedrop mmoja wapo Gerald ama Lampard acheze Gareth Barry hata kama hayuko 100% kumuanzisha Milner wakati amefanya mazoezi siku 2 ni ujinga, golini kumweka Rob Green ni kituko na Kumwacha Cole Joe kuozea bench amelipa 1-1. Game ijayo na zinazofuata watu kama akina SWP hawana akili ya mechi kubwa. Anyway England hawafiki mbali...wakijitahidi watavuka mtoano tu
 
nilimshangaa sana kumleta SWP wakati ana Joe Cole kwenye bench,Milner surprise kubwa sikumtegemea Capello kufanya maamuzi ya kizembe kama vile.

sidhani kama watavuka round of 16.
 
na huyo huyo ndio aliojifunga mwanzo wa 2nd half...............

bahati mbaya hile mkuu mpira kaokoa vizuri ule sema umemgonga agger ndio ukaenda golini,na nashangaa wamemuandika yeye kajifunga wakati mpira umemgonga Agger ndio ukaingia kukosa kumgonga Agger usingeingia.
 
Kuongezea Lamps is good in Chelsea team sababu kuna defensive midfielder wazuri (Ballack, Mikel, na Essien)!
 
Hiyo ndiyo 'own goal - og'
 
Kuongezea Lamps is good in Chelsea team sababu kuna defensive midfielder wazuri (Ballack, Mikel, na Essien)!

kwenu pale jamaa ana kazi rahisi sana ya kumalizia tu zaidi ya hapo hamna chochote na ndio kinacho ficha ubovu wake.hao jamaa ulio wataja wanamsaidia sana.
 
Back
Top Bottom