Kushabikia Sauz ni kujitakia BP ya bure, hawana tofauti na Cameroon.
Goli litarudi hilo mapema sana.
Uzalendo kitu kibaya sana, yani mtu unaumia mpaka unajigundua UMEUMIA SANA!mkuu unafikiri tunapenda...uzalendo tu....
Hapo hakuna kitu ndugu yangu, inabidi sasa hivi tukakojoe tu tulale!.Goli litarudi hilo mapema sana.
SA wamezidiwa...
WAKO nyumbani watarudi tu wakuu lol.
Lol hawa jamaa ni hamna kitu sasa sijui kwa nini walimuacha McCarthy?
Kifupi... NDIVYO TULIVYO!Lol hawa jamaa ni hamna kitu sasa sijui kwa nini walimuacha McCarthy?