World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

BAK huo utafiti sasa hivi itakuwa vigumu kukujibu...............lkn ukitizama utaona kuwa huo ni ukweli au unakaribia kuwa ukweli wenyewe! hahahha

washangiliaji wa Brazil (wanaume) hapa JF wengi ni wa before 1980
 
mama.jpg
 
Haya nitasubiri. Sijui nisubiri kwa muda gani Gaijin lol!
 
kwa heri Brazil...mechi ya Uruguay Ghana wala siangalii, jinsi navyo taka Ghana waende nusu fainali,nikiwaona wanatolewa live naweza kupata presha...nawaombea Ghana the best, naenda kulala
 
BAK huo utafiti sasa hivi itakuwa vigumu kukujibu...............lkn ukitizama utaona kuwa huo ni ukweli au unakaribia kuwa ukweli wenyewe! hahahha

washangiliaji wa Brazil (wanaume) hapa JF wengi ni wa before 1980

Aaah....tutake radhi kabisa.Anyway,haya majonzi na huzuni ni Dunga kayaleta
 
kwa heri Brazil...mechi ya Uruguay Ghana wala siangalii, jinsi navyo taka Ghana waende nusu fainali,nikiwaona wanatolewa live naweza kupata presha...nawaombea Ghana the best, naenda kulala

LOL! kama unajijua una pressure na pia inaweza kupanda kama wawakilishi wetu watafungwa, basi ni bora ukalale. Usingizi mnono.
 
Ujerumani hawawezi kubahatika mara mbili mfululizo, their chance of winning vs Argentine is almost negligible.

...Mkuu Abdulhalim, hujaamini tu kuwa mambo ya utabiri juu ya WC hii itabidi tumuachie yule shekhe wa Chama Chao?:A S-confused1: An hour ago, would you have believed that Brazil would Lose to Nerthelands ?? :A S 39:
 
kwa heri Brazil...mechi ya Uruguay Ghana wala siangalii, jinsi navyo taka Ghana waende nusu fainali,nikiwaona wanatolewa live naweza kupata presha...nawaombea Ghana the best, naenda kulala

Hii style imetulia...usije ukavunja screen bure~~~~
 
Kweli ukumbi umejaa..sijui ni kushangilia ushindi wa Netherlands au kuhuzunika na yaliomkuta Brazil?...

There are currently 129 users browsing this thread. (30 members and 99 guests)

:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:

Aaah....tutake radhi kabisa.Anyway,haya majonzi na huzuni ni Dunga kayaleta

Jamaa kibarua kimeshaota nyasi tangu kipyenga cha mwisho kilivyopulizwa
 
Mimi nadhani ni huzuni kwa yaliyowakuta Magwiji wa soka Ulimwenguni.
 
Kweli ukumbi umejaa..sijui ni kushangilia ushindi wa Netherlands au kuhuzunika na yaliomkuta Brazil?...

There are currently 129 users browsing this thread. (30 members and 99 guests)

:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:

Watu tuna majonzi humu wewe wacha tu, wengine tunafanya kujikausha kiaina!.
 
Hehehe TFF wangesubiria kidogo wangeweza kuwaleta Brazil bongo bure.
 
litajuta kutokumuweka Ronaldinho,....limeniuzi

...sikupenda alivyokuwa 'anacheza' na hisia za watu, kila wakati kuonyesha kama wachezaji wake walikuwa wanaonewa! Hivi hakumuona yule Kocha wa Japani alivyokuwa kama sanamu isiyokuwa na hisia juzi??
 
Back
Top Bottom