Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAK huo utafiti sasa hivi itakuwa vigumu kukujibu...............lkn ukitizama utaona kuwa huo ni ukweli au unakaribia kuwa ukweli wenyewe! hahahha
washangiliaji wa Brazil (wanaume) hapa JF wengi ni wa before 1980

kwa heri Brazil...mechi ya Uruguay Ghana wala siangalii, jinsi navyo taka Ghana waende nusu fainali,nikiwaona wanatolewa live naweza kupata presha...nawaombea Ghana the best, naenda kulala
Ujerumani hawawezi kubahatika mara mbili mfululizo, their chance of winning vs Argentine is almost negligible.
kwa heri Brazil...mechi ya Uruguay Ghana wala siangalii, jinsi navyo taka Ghana waende nusu fainali,nikiwaona wanatolewa live naweza kupata presha...nawaombea Ghana the best, naenda kulala
Aaah....tutake radhi kabisa.Anyway,haya majonzi na huzuni ni Dunga kayaleta
litajuta kutokumuweka Ronaldinho,....limeniuzi
Watu tuna majonzi humu wewe wacha tu, wengine tunafanya kujikausha kiaina!.Kweli ukumbi umejaa..sijui ni kushangilia ushindi wa Netherlands au kuhuzunika na yaliomkuta Brazil?...
There are currently 129 users browsing this thread. (30 members and 99 guests)
:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
Watu tuna majonzi humu wewe wacha tu, wengine tunafanya kujikausha kiaina!.
litajuta kutokumuweka Ronaldinho,....limeniuzi