mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
Brazil sasa wajitahidi magoli yasiongezeke
TAIFA STARS 6 BRAUZI 5
mpira bado unaendelea
Technics na tactics...unakumbuka Spain walifungwa 5 na uholanzi?
Mke mwenza haya mambo gani? sijawahi ona kabisa, something wrong....
Lakini jamani mlitegemea nini kutoka kwa Mjerumani? Kuanza tu kamchapa bingwa mtetezi Spain magoli matano na leo tayari kamchapa "host" matano yale yale! Cha kushangaza ni nini? Niambieni mimi ninayeshabikia magoli tu bila kujali anayefungwa ni nani! Mashabiki wa Brazil ombeni tu msivunje rekodi ya dunia kwa kuruhusu matano zaidi; hii itakuwa balaa!
Breaking news...>>brazil wametangaza hawatarudi kipindi cha pili.
Source ni mimi mwenyewe.
Lakini jamani mlitegemea nini kutoka kwa Mjerumani? Kuanza tu kamchapa bingwa mtetezi Spain magoli matano na leo tayari kamchapa "host" matano yale yale! Cha kushangaza ni nini? Niambieni mimi ninayeshabikia magoli tu bila kujali anayefungwa ni nani! Mashabiki wa Brazil ombeni tu msivunje rekodi ya dunia kwa kuruhusu matano zaidi; hii itakuwa balaa!
Naah hawajazidiwa kivile bana....hilo nakataa kabisa.
Brasil wamechemka mno kwenye defense na kuwapat fursa hao Wajerumani na kufunga magoli tu.