World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

wajerumani wameroga hii match, yaani haiwezekani watufunge magoli yote hayo wabrazili tena uwanja wa nyumbani...!!
 
CAPTION: JAMANI HAWA JAMAA WAMESHAPOTEANA KWAHIYO TUWATANDIKE MAPEMA

2401891_big-lnd.jpg
 
The Germans are perfecting the TIKI-TAKA game. And they said the tiki-taka football is dead. Kulaleki Wabrazil wanajiangusha hao refa kawavalia miwani ya mbao.
 
Technics na tactics...unakumbuka Spain walifungwa 5 na uholanzi?

Si hivyo tu...Wajerumani ni wazuri sana katika kuzitumia fursa. Huwa hawana wastage kivile na leo wamezitumia vyema sana.

Hata wewe hukutegemea ndani ya dakika 20 either team iwe imefungwa magoli manne. Au ulitegemea hivyo?
 
scolari alifanya kosa kumwacha ramirez nje huku akijua silva hayupo uwanjani. luiz siyo beki akiwa peke yake.
 
Brazili hii forwad hamna kabisaaa.... Ronaldo de lima huko alipo nadhani anamshangaa sana huyu Fred..!!
 
Ramirez, oscar, Luiz ... ... .. who else! Where do they trade their skills ... .... ... .
 
Lakini jamani mlitegemea nini kutoka kwa Mjerumani? Kuanza tu kamchapa bingwa mtetezi Spain magoli matano na leo tayari kamchapa "host" matano yale yale! Cha kushangaza ni nini? Niambieni mimi ninayeshabikia magoli tu bila kujali anayefungwa ni nani! Mashabiki wa Brazil ombeni tu msivunje rekodi ya dunia kwa kuruhusu matano zaidi; hii itakuwa balaa!

mkuu we ni brazil nn mbona unachanganya madesa?
 
Lakini jamani mlitegemea nini kutoka kwa Mjerumani? Kuanza tu kamchapa bingwa mtetezi Spain magoli matano na leo tayari kamchapa "host" matano yale yale! Cha kushangaza ni nini? Niambieni mimi ninayeshabikia magoli tu bila kujali anayefungwa ni nani! Mashabiki wa Brazil ombeni tu msivunje rekodi ya dunia kwa kuruhusu matano zaidi; hii itakuwa balaa!

Mkuu aliyemfunga Spain ni holland
 
Nakuunga Mkono NN, vinginevyo hawa Wajerumani kama wazuri kiasi hicho wasingetoka jasho na Ghana au USA, wa kawaida sana.

Naah hawajazidiwa kivile bana....hilo nakataa kabisa.

Brasil wamechemka mno kwenye defense na kuwapat fursa hao Wajerumani na kufunga magoli tu.
 
Lakini jamani mlitegemea nini kutoka kwa Mjerumani? Kuanza tu kamchapa bingwa mtetezi Spain magoli matano na leo tayari kamchapa "host" matano yale yale! Cha kushangaza ni nini? Niambieni mimi ninayeshabikia magoli tu bila kujali anayefungwa ni nani! Mashabiki wa Brazil ombeni tu msivunje rekodi ya dunia kwa kuruhusu matano zaidi; hii itakuwa balaa!

Lini na wapi Ujerumani iliifunga Spain magoli matano?
 
Back
Top Bottom