World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


Mexico ndiyo mapema waliotakiwa kuwatoa Brazil
 

hivi wewe unaangaliaga mpira kweli??au ndio michepuko!baki njia kuu mkubwa,aliyempiga spain 5 ni holland sio germany
 
Leo kila shabiki na kiti chake...


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
haya magoli yanaweza kuleta vita kuu ya 3 ya dunia (WWIII)............
 
Kumbe home boy na wewe uko Germany? Wacha tuendelee kutupia!

tangu mwanzo wa mashindano siikubali brazil kwa kua mwaka huu haina kiwango na imefika hapo kupitia mbeleko za marefa
 
We acha tu Mkuu mie leo siku yangu bomba sana nimefanya shughuli zangu chap chap ili kuhakikisha naona mpira huu kwa kituo, halafu kunakuwa na midabwada kama hii dakika 26 tu mechi imekwisha!!! Dah!!!

Yaani Brazil haijawahi niumiza kiasi hiki, nina wasiwasi fainal itachezwa huku helcopter zikizunguka juu.
Hapatatosha huko, hakuna wabarazil watakaoingia kuwaona wajerumani.
 
Reactions: BAK
Ninachompendea germany hanaga cha kuremba, anapiga vyuma tu
 
Ujerumani wasipoangalia yatawapata na wao pia ..
 
Hivi matokeo yakibaki hivihivi mpaka dk90 taifa stars itapanda viwango vya fifa eenh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…