Labda tusiiseme sana Brazil hii,huenda tuna expectations kubwa toka kwao kwa vile tunawalinganisha na akina marcos,dida,ceni,cafu,lucio,roque junior,edmilson,roberto carlos,belleti,Anderson Polga,junior,ricardinho,Gilberto silva,rivaldo,gaucho,kleberson,vampeta,juninho,ronaldo,denilson,edilson,luizao,kaka..dah,kwa kweli tutakuwa tunawaonea tu akina Hulk kuwaweka mizani moja na hawa mitume!tukubali kuwa tulibahatika kuona the golden generation of soccer players sio tu Brazil,bali duniani,na sio rahisi kurudia enzi zile mara kwa mara.tuwaweke akina Neymar mahali pao,hii mitume ya zamani tuiache tu kwenye museums zetu vichwani.basi tena,ndo Luiz huyo na kafreekick kake,goli la pili,hongera Brazil lakini msiwataje kabisa wale mitume wa soka,hawafanani na hii brazil yenu ya leo.wangekuwa wale wanacheza nisingekuwa na muda wa kuandika post ndefu hivi!