World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pole sana Bantu lady.

 
Last edited by a moderator:
Jamani mwenzenu nimejifunza kitu ,baraka za wananchi zinahusika sana katika kuleta mafanikio kwa nchi/taifa,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,machozi ya wa watu wa Brazil kuhusiana na mishahara yao hayajaenda bure,Ufisadi una mwisho,lengo la viongoz wao lilikuwa zuri lakini wakasahau kuwekana sawa na wananchi wao ili jambo hili la kuandaa mashindano liwe baraka kwa nchi yao na hatimae ndoto zao zitimie,kweli chozi la mnyonge lina thaman kubwa kwa Mungu hii aibu haijawahi tokea.Scolar naye alifumbwa macho akachagua kikosi kibaya akasahau kuweka watu wazur. Chozi la mnyonge malipo kwa Mungu baba!!
 
Tokea nianze kuangalia kombe la dunia mwaka 1998,sijawahi ona timu inafungwa mabao 7

Sasa leo ndo umeona, Bingwa mara5, akichapwa na bingwa mara 3 kichapo cha mbwa mwizi! Spain bingwq mtetez alichapwa5-1, kwa hiyo lolote linaweza kutokea!
 
Hiv scandinavian countriez nazo zinawatch tu kideoni..zimepotea zote mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…