World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


mimi kinachoniuma zaidi hii world cup ni Ghana na Ivory coast...wangekomaa huwezi jua kesho tungekuwa na timu moja ya Africa fainali......this world cup was anybody's cup....waafrica hatuna winning mentality tu...wakati quality ipo...hakuna timu iliyoitoa Germany jasho kama Ghana....wakati jumapili Germany wanaweza beba kombe...
 
WorldCup hii nimekosea zote mwisho nikasema nishangilie Argentina ndio Holland itashinda ah wapi! Sasa nataka kweli Argentina ishinde na sio Ujerumani marudio ya 1990 Final wanasema WorldCup hii zimeenda Penalt nyingi Kama 1990 na Ujerumani na Argentina wamekutana tena 2014.
 
Narudia tena kombe linaenda Argentina. Before mechi ya Leo walisema argntn hataweza kumtoa kibabu ila km mlivyoona katokomezwa sasa nasema tena German hachukui kombe. Hivi argntn hawajui wako WC? Unadhani hawatajiandaa? German ni mwamba ila Argentina watajipanga pia kumuweka kwapani. Lazima simba apakatwe anyweshwe maziwa.
 
Messi deserve to win it....but team Germany nayo deserve it also.....so...

Ni Messi tu aliyefanya niwe mshabiki wa Argentina leo, napenda sana huyo dogo apate kombe la Dunia lakini as a team, hakuna anayestahili zaidi ya Mkoloni
 

Sijaelewa ni kwamba Messi ndo alipiga penat zote?au yeye ndo alidaka?au yeye ndo alipanga wapigaji?
 

Safi sana!
 
Mhhhh! haya bana, thanks for your company, if you change your mind please feel free to come back.


You are welcome, siwezi kurudi huko tena kwa sababu ya kocha wenu alichomfanyia kijana wetu Carlitos ila kila la kheri
 
Reactions: BAK
haa haa nadhani wanaweza...kwi kwi kwi

Niliwahi humu kusema kuwa mechi waliyocheza vizur Holland ni ile ya Spain tu. Hata mechi ile na Chile, bila ya Robben kujidondosha walishakwenda na maji.
 
Ni Messi tu aliyefanya niwe mshabiki wa Argentina leo, napenda sana huyo dogo apate kombe la Dunia lakini as a team, hakuna anayestahili zaidi ya Mkoloni

wewe kama mimi mkuu...WAJERUMANI wana discipline ya mpira hata kama huwapendi unawakubali,,,,Messi kweli anastahili but kitimu Wajerumani ndio team inayostahili....wameweza kuwa na discipline inayotakiwa to win it...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…