World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ujinga mwingine unakuwa hauna mfano.

Kama kuna timu siipendi basi ni Argentina kwanza kabisa kwa ubaguzi wao wa rangi. Umeshamuona mtu mwenye asili ya Kiafrika Argentina? jiulize kwanini na walipelekwa huko kama walivyopelekwa bara zima la Amerika.

Ukijuwa kilichopelekea Waafrika kutokuwepo huko, utaichukia daima hiyo nchi na watu wake.
 
watu waliwaabudu sana netherland na hii argentina iliwasaidia kwani waliweza kujipanga. Mesi akichukua kombe nitafurahi Sana....Cristiano Ronaldo anatamani kufa huko aliko.

umeongea kweli watu wengi waliamini holland anasonga mbele lakini tangu wacheze na costa rica na kulazimishwa kwenda dk 120 holland ilikuwa siyo timu ya kufika mbali. Leo viungo vyao vilikufa kabisa.
 
umeongea kweli watu wengi waliamini holland anasonga mbele lakini tangu wacheze na costa rica na kulazimishwa kwenda dk 120 holland ilikuwa siyo timu ya kufika mbali. Leo viungo vyao vilikufa kabisa.

Siyo kwamba vilikufa kwa kupenda, Argentina walilazimisha hilo, na ofcourse walifanikiwa kupunguza kasi. Naamini hata jumapili wakivuruga mipango ya akina Mesut Ozil hutaamini kitakachotokea! Tuombe tu uzima
 
wewe kama mimi mkuu...WAJERUMANI wana discipline ya mpira hata kama huwapendi unawakubali,,,,Messi kweli anastahili but kitimu Wajerumani ndio team inayostahili....wameweza kuwa na discipline inayotakiwa to win it...

Haswaa ile team ina discipline ya hali ya juu, halafu nampenda sana Joachim Low, haiba yake, mbinu zake za ufundishaji ni superb. Naamini anastahili kupata kombe hili baada kazi kubwa ya miaka akiisuka hii team
 
Siyo kwamba vilikufa kwa kupenda, Argentina walilazimisha hilo, na ofcourse walifanikiwa kupunguza kasi. Naamini hata jumapili wakivuruga mipango ya akina Mesut Ozil hutaamini kitakachotokea! Tuombe tu uzima

kocha wa holland leo alibugi kumuanzisha mpiga penati siyo mzoefu. Kisaikolojia unakuwa aumeathirika kama ya kwanza unakosa. ona ajentina messi ameanza na nilitaraji kwa holland angeanza Roben.
 
In short babu na van walivurugwa kabisa....hawakuonekana
 
umeongea kweli watu wengi waliamini holland anasonga mbele lakini tangu wacheze na costa rica na kulazimishwa kwenda dk 120 holland ilikuwa siyo timu ya kufika mbali. Leo viungo vyao vilikufa kabisa.

Watu hawakutarajia haya
 
kocha wa holland leo alibugi kumuanzisha mpiga penati siyo mzoefu. Kisaikolojia unakuwa aumeathirika kama ya kwanza unakosa. ona ajentina messi ameanza na nilitaraji kwa holland angeanza Roben.

Ndo hivyo mdau, tuliwapenda lakini mpira ndo ulivyo! Kwa heli RVP, kwa heri Robben kwa heri Van Gal, nenda Man U ukajaribu bahati yako
 
Ww knachokusumbua n akil na kujitambua,umejawa roho ya kibaguz tu,ikija dini upo na ubaguz wako afu na kwenye soka waja tena na wimbo wako ule ule,kama hujui soka kaa pemben,balotel n black fika bt mwambie kuwa ww kwenu n africa uone atakachokufanya....dunia imechange Argentina huijui ww piga kimya

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Sijaelewa ni kwamba Messi ndo alipiga penat zote?au yeye ndo alidaka?au yeye ndo alipanga wapigaji?

Wewe hata darasan najua tokeo lako litakuwa la kuunga unga,kama maneno machache haya yamekushinda itakuweje upewe lundo???rud faceboook ndo wapo type yako

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…