Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Bora kushangilia taifa stars Brazil nuksi tupu
Maana yangu kuwa usiote ndoto za mchana, kwani Argentina hana ubavu kwa German....Una maana gani? Leo Argentina anashinda, believe me!
Usikonde, na utakuwa shahidi hapo baadae usiku.... 🙂hahahhaa u guys Lol
eti leo ndio atajua faida ya ubishi wake.kumbe ubishi una faida
mkuu umeshakuwa alcoholic unahitaji intervaction asap ama sivyo tutakukuta relini huna viatu wala soksi. Tangu World Cup ianze unatembelea bar moja hadi nyingine,kilabu kimoja hadi kingine jijini,bado tunahitaji mchango wako na Burkina na busara zako kwa Taifa.Tunakupenda mkuu usije ukawa ka sokomoko angali bado Kijana.Nevertheless enjoy Bata Bongo. one loveLeo kiwanja cha nyumbani Ukonga-Gongo la mboto bar inaitwa Chadibwa karibu sana na makabuli ya Mzee Njenje!
Nipo hapa hadi saa 2 usiku!!Wakuu njooni tujadili soka!!
Hahahaha au kwakua blind amefunga
Leo ndo leo.....hata uwe Mtabiri zaidi ya katavi,Upende Brazil zaidi ya HOE,uwe mbishi zaidi ya andate na malyafale,uwe na data zaidi ya Bull na BAK.....amini leo mjerumani anamshikisha adabu Argetina......3-1 Go Team Germany!
Nimo pia huku ila hivi vidude niko addicted sana mkuu
Mbona siifaham mkuu
Hahahahahahah lol! ukisikia uchokozi ndio huu 🙂🙂 ...Haya nimekubali goli 10...tabu sana kumeza hii kitu Dah!!!!!
CC: farkhina
Arsenal kama Brazil na Brazil kama Arsenal.Brazil walianza kwa cheche wakafunga timu vibonde tena kwa shida wakaamini watalibeba Kombe,walipokutana na kigogo wakanywea wakapigwa magoli kibao kama Arsenal vile na mwishoni wakabeba fourth spot trophy kama MY BELOVED ONE AND ONLY TEAM ARSENAL. nimeandika hii kuwafurahisha #TEAMWAKAANGASUMU . it's blinking weekend enjoy the joke
Leo nimeenda kanisani kumtakia mafanikio mtakatifu Messi