Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Bora kushangilia taifa stars Brazil nuksi tupu
Nuksi kweli kweli mkuu!
Sielewi kwanini hawa Team Brazil hawataki kusahihisha makosa yao lukuki ktk soka! Moja ya tatizo ni pale wanapotumia a lot of energy ktk kuimba wimbo wao wa Taifa. Hata jana dunia ilishuhudia wakiimba National Anthem yao kwa nguvu sana, kitu kinachosababisha kabla ya kuanza mechi uwanjani wakiwa wamechoka tayari.