World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Bora kushangilia taifa stars Brazil nuksi tupu

Nuksi kweli kweli mkuu!
Sielewi kwanini hawa Team Brazil hawataki kusahihisha makosa yao lukuki ktk soka! Moja ya tatizo ni pale wanapotumia a lot of energy ktk kuimba wimbo wao wa Taifa. Hata jana dunia ilishuhudia wakiimba National Anthem yao kwa nguvu sana, kitu kinachosababisha kabla ya kuanza mechi uwanjani wakiwa wamechoka tayari.
 
Leo kiwanja cha nyumbani Ukonga-Gongo la mboto bar inaitwa Chadibwa karibu sana na makabuli ya Mzee Njenje!
Nipo hapa hadi saa 2 usiku!!Wakuu njooni tujadili soka!!
mkuu umeshakuwa alcoholic unahitaji intervaction asap ama sivyo tutakukuta relini huna viatu wala soksi. Tangu World Cup ianze unatembelea bar moja hadi nyingine,kilabu kimoja hadi kingine jijini,bado tunahitaji mchango wako na Burkina na busara zako kwa Taifa.Tunakupenda mkuu usije ukawa ka sokomoko angali bado Kijana.Nevertheless enjoy Bata Bongo. one love
 
Arsenal kama Brazil na Brazil kama Arsenal.Brazil walianza kwa cheche wakafunga timu vibonde tena kwa shida wakaamini watalibeba Kombe,walipokutana na kigogo wakanywea wakapigwa magoli kibao kama Arsenal vile na mwishoni wakabeba fourth spot trophy kama MY BELOVED ONE AND ONLY TEAM ARSENAL. nimeandika hii kuwafurahisha #TEAMWAKAANGASUMU . it's blinking weekend enjoy the joke
 
Leo ndo leo.....hata uwe Mtabiri zaidi ya katavi,Upende Brazil zaidi ya HOE,uwe mbishi zaidi ya andate na malyafale,uwe na data zaidi ya Bull na BAK.....amini leo mjerumani anamshikisha adabu Argetina......3-1 Go Team Germany!
 
Mkuu nimeisha anza kushangilia ushindi wetu!Team MESSI
 
Last edited by a moderator:
Mbona siifaham mkuu

Ipo hapa kama unaiacha Gongo la mboto kulia kwa soko kama unaingia kuelekea Kipunguni;uelekeo wa nyumbani kwa Mbunge Mwaiposa!

Njoo mkuu napiga kongolo sasa huwezi potea!Bia bei rahisi hapa
 
Arsenal kama Brazil na Brazil kama Arsenal.Brazil walianza kwa cheche wakafunga timu vibonde tena kwa shida wakaamini watalibeba Kombe,walipokutana na kigogo wakanywea wakapigwa magoli kibao kama Arsenal vile na mwishoni wakabeba fourth spot trophy kama MY BELOVED ONE AND ONLY TEAM ARSENAL. nimeandika hii kuwafurahisha #TEAMWAKAANGASUMU . it's blinking weekend enjoy the joke

Ehehehehe Ozil alikuja kwa mbwembwe zaidi hizi za Sanchez,mwishoni akawa dropped hata kikosi cha kwanza!Kule kuna Showcross-Stoke City mbwembwe zako huko huko maana jamaa hajui kuremba eheheheheh
 
Back
Top Bottom