World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nilichoona mpaka sasa timu za Africa zinategemea manguvu, kukimbia kimbia kusiko kuwa na mpango, timu hazicheki kitimu
 
Kama mkristo uende kanisani kwanza, tukaiombee Africa hali si shwari.

Mpendwa balaa inaweza tokea madhabahuni, badala ya kutoa sadaka najikuta usingizini na kupinduka sakafuni

watu wakaanza kukemea mapepo hewa, kumbe hawajui nimekesha kwenye screen.
 
Vijapan vimetumwa kucheza kombe la dunia, hawajaenda kutalii Brazil. Hao wauza sura IC wamesharidhika miaka yote huenda na kutolewa hela wameshachukua wana wasiwasi gani.
 
Nilichoona mpaka sasa timu za Africa zinategemea manguvu, kukimbia kimbia kusiko kuwa na mpango, timu hazicheki kitimu
Mkuu DonDonald Waafrika wanafikiri haya ni mashindano ya mieleka au kunyanyua vitu vizito.
 
Last edited by a moderator:
Vijapan vimetumwa kucheza kombe la dunia, hawajaenda kutalii Brazil. Hao wauza sura IC wamesharidhika miaka yote huenda na kutolewa hela wameshachukua wana wasiwasi gani.

We waangalie watu kama Van Persie jana,mtu anajituma vile anaruka hawazi akirudi chini ataumiaje,ila hawa wetu kukimbia tu hamna kipya
 
Nilichoona mpaka sasa timu za Africa zinategemea manguvu, kukimbia kimbia kusiko kuwa na mpango, timu hazicheki kitimu
Hawamuoni Pirlo Hana haja kutoka mbio kasi mama Kama Askari Bismarck anatizama gari zinazunguka anadonoa tu sio Pasi Kama umepiga shuti.
 
Nilichoona mpaka sasa timu za Africa zinategemea manguvu, kukimbia kimbia kusiko kuwa na mpango, timu hazicheki kitimu

Tatizo kubwa kwa Ivory cost ni solomon kalou, anakosa mengi na ya wazi kisha anabahatisha.

Foward wa namna hiyo ni mzigo kwa timu, unahitaji watu kama honda, quick, accurate na specific.

hatuna watu wa aina hiyo, wakitokea ni akina balotel, thiery henry, zidane wanahamia uraia wa ughaibuni.
 
Kocha naye ni matatizo, toka kuwa mchambuzi wa soka kwenye TV mpaka kuwa kocha wa timu kubwa ya Afrika kama Ivory Coast. Ndiyo maana hata sisi tuliwasumbua pale Uwanja wa Taifa.

Huwezi sema Drogba amezeeka wakati hakuna replacement ya kama yeye. Drogba huyu ndiyo kwanza anepewa Mkataba wa miaka miwili na Juve, na kwenye CL alicheza mechi zote mbili na Chelsea na kwa muda mrefu. Hawa malonya malonya wasivyokuwa na ubavu Drogba angewasumbua sana.
 
We waangalie watu kama Van Persie jana,mtu anajituma vile anaruka hawazi akirudi chini ataumiaje,ila hawa wetu kukimbia tu hamna kipya

Umeonaee alipaa sana ile aliyofunga kwa kichwa hata angevunjika kidevu mtoto wa watu. Waafrika lazima tuna matatizo fulani na tunapenda kujituma tukiwa na wazungu.
 
Drogba akiiingia akifunga atavyotingisha zile kalikiti zake .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…