Misri ni timu nzuri haina bahati ya WorldCup Sema Egypt ndio basi tena sioni miaka inayokuja kufanya vizuri timu ayo ya Taifa.Kweli nimeamini kabisa kwa hawa Cot bora wange ingia Misri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misri ni timu nzuri haina bahati ya WorldCup Sema Egypt ndio basi tena sioni miaka inayokuja kufanya vizuri timu ayo ya Taifa.Kweli nimeamini kabisa kwa hawa Cot bora wange ingia Misri.
Mkuu mziki gani? Labda ushirikina.Kweli Afrika tujitahidi tu kuweka nguvu zetu kwenye mziki na mapenzi huenda tukapata jina zaidi kuliko ktk soka.
Kama mkristo uende kanisani kwanza, tukaiombee Africa hali si shwari.
Kweli nimeamini kabisa kwa hawa Cot bora wange ingia Misri.
Kweli nimeamini kabisa kwa hawa Cot bora wange ingia Misri.
Vijapan vimetumwa kucheza kombe la dunia, hawajaenda kutalii Brazil. Hao wauza sura IC wamesharidhika miaka yote huenda na kutolewa hela wameshachukua wana wasiwasi gani.
Hawamuoni Pirlo Hana haja kutoka mbio kasi mama Kama Askari Bismarck anatizama gari zinazunguka anadonoa tu sio Pasi Kama umepiga shuti.Nilichoona mpaka sasa timu za Africa zinategemea manguvu, kukimbia kimbia kusiko kuwa na mpango, timu hazicheki kitimu
Nilichoona mpaka sasa timu za Africa zinategemea manguvu, kukimbia kimbia kusiko kuwa na mpango, timu hazicheki kitimu
We waangalie watu kama Van Persie jana,mtu anajituma vile anaruka hawazi akirudi chini ataumiaje,ila hawa wetu kukimbia tu hamna kipya
Mapenzi ukimaanisha kubamduana au? HT hapa nimeenda kumkagua wife narudi tena nimemuqcha anatweta tu..mapenZi ndo fani yetu