World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Bahraini wa Swiss akaokoa jahazi swiiiiiis inamnyanyua Bantu Lady Jana kapata Leo kapata siku hizi nitamsikiliza ilini win Betting Bantu lady wewe kiboko.

Yaani kama ungenifuata siku Brazil na Croatia hee ungeshinda nilisema 3-1 na ikawa hivyo.
 
[MENTION]everlenk[/MENTION] wapi leo mpendwa? bado hujaamuka? kuja huku uone ndugu zetu wanavyotuangusha...
 
Hawa Equador ni ndugu zetu wadamu, simumeona hata tabia za kijingajinga tulizonazo nawao wanazo 100%

Hivyo rangi yetu hii ni balaa.

Eq 1 - swi 2
. Najaribu kupingana na wewe ila naishindwa dah wanapoteza nafasi muda sio grrrrrrrrr!!!
 
Hawa Equador ni ndugu zetu wadamu, simumeona hata tabia za kijingajinga tulizonazo nawao wanazo 100%

Hivyo rangi yetu hii ni balaa.

Eq 1 - swi 2

Naunga mkono hoja yani walibweteka kabisa....umaliziaji wa kizembe...aagh nijitundike drip mie..wamenichosha
 
Hawa Equador ni ndugu zetu wadamu, simumeona hata tabia za kijingajinga tulizonazo nawao wanazo 100%

Hivyo rangi yetu hii ni balaa.

Eq 1 - swi 2

Mkuu umenivunja mbavu.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…