Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hajui itabidi umtambulishe sasa.
Bahraini wa Swiss akaokoa jahazi swiiiiiis inamnyanyua Bantu Lady Jana kapata Leo kapata siku hizi nitamsikiliza ilini win Betting Bantu lady wewe kiboko.
Nipo Bantu lady, siku inaisha vizuri....Wapiiiiii #teamswitzerland # Katavi
hahahaha hawa vijana wataniulia mtani hawa daaa: duuu
machela inakujaTena achangamke kabla sijaharibu...
By the way wifi njoo unipeleke ICU....
Naona hajui itabidi umtambulishe sasa.
. Najaribu kupingana na wewe ila naishindwa dah wanapoteza nafasi muda sio grrrrrrrrr!!!Hawa Equador ni ndugu zetu wadamu, simumeona hata tabia za kijingajinga tulizonazo nawao wanazo 100%
Hivyo rangi yetu hii ni balaa.
Eq 1 - swi 2
Hawa Equador ni ndugu zetu wadamu, simumeona hata tabia za kijingajinga tulizonazo nawao wanazo 100%
Hivyo rangi yetu hii ni balaa.
Eq 1 - swi 2
Daaaaaaaaa ngoja niwasubiri HondUrus wawachape wafaransa.Wapiiiiii #teamswitzerland # Katavi
Hii kweli droo ya kwanza ya world cup kama ulivyotabiri....
Pole sana kiongozi, presha haijapanda?daaaaa mtani hongera lakini nashukuru nimeokoa maisha yako.
daaaaa mtani hongera lakini nashukuru nimeokoa maisha yako.
Hawa Equador ni ndugu zetu wadamu, simumeona hata tabia za kijingajinga tulizonazo nawao wanazo 100%
Hivyo rangi yetu hii ni balaa.
Eq 1 - swi 2
Hahahaaah,,,,,,,na wewe kwa kujitafutia presha....!!Daaaaaaaaa ngoja niwasubiri HondUrus wawachape wafaransa.
Ama kweli ushindi mtamu, haya majigambo yanazidi hata mpira uliochezwa ndani.Ahsante mtani mimi huwa sikurupuki kushangilia timu, aitakagi presha kabisa lazima nijue historia ya timu kwanza.
#teamswitzerland #
poleni #teamEcuador # hivi mlisema ni ndugu zenu eeh??