Hio Iran watambue vizuri...waliwahi kutoa mtu anaitwa "desert PELE" sayyid Al-howairan....si wa kudharau hata kidogo
Kwa sasa wanaye yule striker wa Fulham Dejegha(sina uhakika na spelling)!
Iran wala Nigeria hawawezi washinda teams hizi 2
Game muzuri hii, wasije wakaanza kubugizwa magoli tu.
vijamaa vizuri aise haitokua rahisi kuwabugiza mengi kama usemavyo
Messi,aguero,Rodriga wote kwapani......hawa jamaa wanakaba
halafu kwann messi anatembea tu yani hakabi kabisa anamuachia aguero tu sijui ndio alivyoambiwa mmh
Kuna mechi itakayofuata baada ya hii ?