World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hio Iran watambue vizuri...waliwahi kutoa mtu anaitwa "desert PELE" sayyid Al-howairan....si wa kudharau hata kidogo

Kwa sasa wanaye yule striker wa Fulham Dejegha(sina uhakika na spelling)!

Iran wala Nigeria hawawezi washinda teams hizi 2
 
Mechi nzuri sana na Balkanians wametawala dimba,Mascherano haonekani
 
Arg wanawakati mgumu sana , jamaa nu wazuri . Wanamiliki kiungo . Arg wanashindwa kupenya
 
Argentina wanna ma star mbele lakini hawako organized wanaweza chapwa Hii mechi ingawa wanaongoza
 
halafu kwann messi anatembea tu yani hakabi kabisa anamuachia aguero tu sijui ndio alivyoambiwa mmh
 
Shkamoooooo Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!
 
Back
Top Bottom