It does not matter the final scoreline!Hawa wawili ndiyo watapita kundi hili,Iran na Nigeria hamna kitu
So far sijawahi kuona forward ng'ombe kama za Bosnia, leo argentina ameshinda kutokana na u-ng'ombe wa bosnia strikers. Argentina hajacheza mpira mzuri kabisa. Kama huu ndio mpira wao watapita kwenye mechi za makundi kwa sababu kundi lao lina vibonde watupu, mwisho wao ni round of 16 (2nd round).
Amezoea kucheza pale Barca TU akipelekwa kwingine hawezi
mkuu nakubaliana na wewe. Argentina kapata vibonde kwenye kundi lake na ataishia quarter finalsSo far sijawahi kuona forward ng'ombe kama za Bosnia, leo argentina ameshinda kutokana na u-ng'ombe wa bosnia strikers. Argentina hajacheza mpira mzuri kabisa. Kama huu ndio mpira wao watapita kwenye mechi za makundi kwa sababu kundi lao lina vibonde watupu, mwisho wao ni round of 16 (2nd round).
WC 2006 alifunga goli moja tu.
WC 2010 hakufunga goli hata moja.
WC mwaka huu kapata hilo moja, ngoja tusubiri tuone ataendeleaje, labda atakuwa leading scorer wa argentina.
Hio Iran watambue vizuri...waliwahi kutoa mtu anaitwa "desert PELE" sayyid Al-howairan....si wa kudharau hata kidogo
breaking news! England inachunguzwa kwa rushwa ya kuwapa Carribien £35000 ku vote wa host WorldCup 2018 sasa wamepiga Kelele Qatar inakuja na kwao Sema Sepp Blatter naye anafanya hivi sababu anataka kushinda kura World Cup zote rushwa japo wanazidiana ni mafia kila mtu na huko FIFA kila mtu Anaadui yake a najaribu kumzima walete viongozi wamaana Africa imenyimwa WorldCup nyingi kwa rushwa ila South Africa imepewa baada kuona pia Sepp Blatter time ile anashindana nafasi na Yule Mwafrica kuja kipindi na Bin Hamman akamuweza kufungua Zambi zake Leo anamlia. Platini na England inaonyesha FIFA wanajuwa wala rushwa wanawataja muda ambao wakisemwa au kutaka kura.
France.kwahiyo Team yako hasa ni ipi!
Drogba hajafunga goli,makelele alikuwa anachezea France,alishastaafu siku hizi anasaidia kufundisha PSG,Kaka ni wa Brazil na yeye kastaafu timu ya taifa Ivory coast watacheza alhamisi saa moja jioni.Brazil itakuwa jumanne saa nne usikuDrogba jana kafunga goli nimefurahi sana..... anacheza lini tena mnaojua naomba mnisaidie...... makelele anacheza nchi gani? na kaka naye anachezea nchi gani naomba na ratiba zao......
Drogba jana kafunga goli nimefurahi sana..... anacheza lini tena mnaojua naomba mnisaidie...... makelele anacheza nchi gani? na kaka naye anachezea nchi gani naomba na ratiba zao......
Wenzetu wanabadili team kwa wakati sio ss "Kaseja" miaka 15 golini...hakuna wapya?
sababu umenisusa
Sitakaa nisahau nilikuwa mdogo ila siku hiyo nilisikitika maana nilikuwa team Brazil