Nigeria na irani?huyu yupo kundi moja na GHANA na USA
Jamaa aliruka utafikiri kapigwa kichwa.
Mtani leo huko timu gani?Ureno wametepeta mpaka wanatia huruma.
Mkuu Ritz leo Nani ana jitahidi.
Sijui kama atapata nafasi ya kuingia raundi inayofuata. Ana hali mbaya kama mwenzake spain.Portgual aliamka vibaya tu leo ila ana team nzur
Mkuu utafuta kauli yako kabla ya mpira kumalizika au bado unashikilia msimamo wako?Leo anakaaa huyo bingwa wako
Sent from my iPhone using JamiiForums.