World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ImageUploadedByJamiiForums1402939907.952979.jpgilikuwa ujenzi huru
 
troll_football_image_6b0bc95cea711c3d504f388f6c297300.jpg

[h=2]Raul Meireles reaction to Pepe's red card!
[/h]
 
Dah! Niko safarini roho inaumaje sicheki game??

Updates .....updates.... plssss
 
Raul Maireles naye ganja kama Djibril Cisse. We mtu kichwa chako kinafanya cha majaribio ya unyoaji? Aarghh!
 

Chifu...

Kuna kitu unamiss hapa...

Hakuna sehemu nimefurahia alichokifanya Pepe..

Pitia upya video ya tukio zima utaona kwamba ni kweli Pepe alifanya kosa..Lakini halikustahili straight Red card...Angempa yellow tu ingetosha...

Muller kafanya usanii baada ya kuguswa na Pepe na Refa akaingia mkenge...

BTW..Haya ni mawazo/mtazamo wangu tu Chifu...Unaweza ukayapotezea tu kama unaona hayana mashiko....

Tuendelee kutazama mtanange Chifu...
 
Wajerumani wanabebwa sioni mpira wowote wanacheza, wa.se.nge.
 
Back
Top Bottom