World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kwa mashabiki walioko Brazil sidhani kama FIFA itakuja kosea kuleta kombe la dunia Africa.
Hawa watu waliandamana sana ila sasa kimyaaaaa
Balaa litakuwa kwa serikali ya Brazil endapo watalikosa kombe.
 
Gooalllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll

lajeria 1 belgium 0
 
Hapa leo ndio tutajuwa tatizo sio africa ila ni rangi yetu ngumu kuelewa na rangi isiyokuwa na uzalendo!
 
But its Africa we win today. Hapa tuongeze jingine tu
 
Hivi hawa watu 2010 hawakufunga hata goal moja.
Yaani 28 years leo ndo wanafunga goal la kwanza
 
Hapa leo ndio tutajuwa tatizo sio africa ila ni rangi yetu ngumu kuelewa na rangi isiyokuwa na uzalendo!

hawa nchi za kiarabu wana uzalendo sana siyo hizi timu za kusini mwa jangwa la sahara. huwezi kuona hana siku moja wanaulizia posho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…