Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Balaa litakuwa kwa serikali ya Brazil endapo watalikosa kombe.Kwa mashabiki walioko Brazil sidhani kama FIFA itakuja kosea kuleta kombe la dunia Africa.
Hawa watu waliandamana sana ila sasa kimyaaaaa