Mabingwa watetezi wa kombe la dunia,namba 1 ya soka dunia,Spain La Furia Roja leo saa 4 kwa saa za afrika mashariki watakuwepo ktk uwanja wa Fonta Nova jijini Salvador kupambana na Uholanzi ikiwa kama marudio ya fainali iliyopita 2010 huko nchini Afrika Kusini,refarii atakuwa ni muitaliano Nicola Rizzoli
Spain itawakilishwa
Casillas
Sergio Ramos
Pique
Azpilicueta
Alba
Xabi Alonso
Busquets
Xavi
Diego Costa
Pedro
Iniesta
ukiwakosa Spain jimalize,nchi bora kisoka duniani kwa sasa ktk kizazi hichi cha 21.