World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mabingwa watetezi wa kombe la dunia,namba 1 ya soka dunia,Spain La Furia Roja leo saa 4 kwa saa za afrika mashariki watakuwepo ktk uwanja wa Fonta Nova jijini Salvador kupambana na Uholanzi ikiwa kama marudio ya fainali iliyopita 2010 huko nchini Afrika Kusini,refarii atakuwa ni muitaliano Nicola Rizzoli
Spain itawakilishwa
Casillas
Sergio Ramos
Pique
Azpilicueta
Alba
Xabi Alonso
Busquets
Xavi
Diego Costa
Pedro
Iniesta
ukiwakosa Spain jimalize,nchi bora kisoka duniani kwa sasa ktk kizazi hichi cha 21.

Pedro anaanzia bench fabregas ndio anaanza
 
Cameroon ijikaze alaf tuone team za africa ziko vp
 
Yaani mpk dk hii sina imani na Cameroon ....
Nahisi kichapo kitatembezwa kwa Cameroon leo
 
Oyah! Ushindi kama kawa, japokua wajinga wanatishia kujamba.
 
Back
Top Bottom