Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaa off side haapaMpaka sasa dalili sio nzuri kwa Cameroon
Mabingwa watetezi wa kombe la dunia,namba 1 ya soka dunia,Spain La Furia Roja leo saa 4 kwa saa za afrika mashariki watakuwepo ktk uwanja wa Fonta Nova jijini Salvador kupambana na Uholanzi ikiwa kama marudio ya fainali iliyopita 2010 huko nchini Afrika Kusini,refarii atakuwa ni muitaliano Nicola Rizzoli
Spain itawakilishwa
Casillas
Sergio Ramos
Pique
Azpilicueta
Alba
Xabi Alonso
Busquets
Xavi
Diego Costa
Pedro
Iniesta
ukiwakosa Spain jimalize,nchi bora kisoka duniani kwa sasa ktk kizazi hichi cha 21.
Daaa off side haapa
Wanapata kona wazee wa posho.Dah noma hiyo, afadhali ilikuwa ni offside
Wanapata kona wazee wa posho.
Mpaka sasa sioni kama Cameroon inaweza kushinda mechi hii, ingawa muda bado ila mhh
Endelea kua boya hivyo hivyo.Yaani mpk dk hii sina imani na Cameroon ....
Nahisi kichapo kitatembezwa kwa Cameroon leo