World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

2012 ufaransa hawakutolewa katika hatua hii?

Kwani walikuwa watetezi? Italy ilishinda fainali za 2006 na France walitolewa mapema fainali za 2010.

Watetezi Italy walitolewa kwenye group stages fainali za 2010 lakini sidhani kama walikuwa wa kwanza kutolewa.

Ila South Africa waliweka rekodi kwa kuwa waandaaji wa kwanza kutolewa kwenye round ya kwanza.
 
Kama Spain watafungwa leo, itakuwa ni mara ya kwanza kwa watetezi wa Kombe la Dunia kuwa wa kwanza kutolewa.
Mkuu EMT hii ni fedheha kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Eti ndugu....nini kimetokea? au tunahujumiwa?!!!!!!!!!

Sabotaje o tasa de la gota? yaani Tunahujumiwa au viwango vimeshuka?
 


Haya utaniambia kesho nani kashinda.. bye chile atacheza na nani tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…